Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Aisee!.
Huu uzi ndio nauona leo, Nimeusoma wote. Kumbe kuna mengi yalinipita.
Nimepata cha kujifunza.
 

Haha ni kweli I agree umejitahidi kunichambua
Am a bit complicated nakiri sio kila mtu anaweza kuwa comfortable na mambo yangu,lakini ukinijulia huwezi kupata shida na mimi tena
Anyway najitahidi kuwa considerate kwa mwenza wangu na huwa nampa room ya kunikumbusha mara kwa mara
 
Ninawaombea Mama.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Iv mnapata wap nguvu za kudiscus kishujaa iv na wanaume???
 
Mbususu ikipigwa vizuri sizani ata hzo nguvu kma utakua nazo , mwanamke asipotombwa vizuri mara nyingi anakua na mitizamo ya kiume.
 
Hapana Surya wewe ni malaika mtakatifu una uwezo wa kuhesabia madhambi ya watu huku wewe ukiwa mweupe kama theluji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Rafiki tuombee sisi wadhambi tufike huko ulipo[emoji1374][emoji1374][emoji1374]
Mimi ndio malaika naona kabsa haujawah kukojoa ndo maana unakua na maamuzi ya kibabe
 
Mbususu ikipigwa vizuri sizani ata hzo nguvu kma utakua nazo , mwanamke asipotombwa vizuri mara nyingi anakua na mitizamo ya kiume.
sasa mbususu unaitombaje vizuri? ebu ainisha hapa baadhi ya actions zinazohitajika ili mbususu itombwe vizuri na sie vibamia tujifunze maana tunanyanyasika sana
 
Gazeti refu kinoma. Mwanamke akichepuka inaumiza sana mwanaume kuliko mwanamme akichepuka. Kwa jinsi hiyo wanaume ndo wahanga wakupwa sana na maswala ya usaliti. The only way wanaume tusiwe wanyonge ukithinitisha amechepuka nenda pole pole tumia busara kuliko nguvu.
 
Napigaje ivimbe wakati naishia kwenye mapaja tuu
Tafuta wa saiz yako mkuu hiz mbususu kila mtu nature imemtengenezea ya kimo chake achna na wenye mitako kama unajijua, mlima ukiwa mkubwa pia Huwa na mteremko mkali.
 

Dada una vitisho wewe khaaa [emoji15]
 
Nakwambia labda huyo mwanaume awe mjinga , Mimi nakufukuza kabisa watoto wangu utaacha ukitaka zaidi nakupasua ubongo full stop.
Yaaani Mimi mwenyewe lazima nikutumue

Kwanza picha linaanza siku ya kwanza tu lazima nikanunue Malaya Kisha nakuja nae home nalala nae humo humo halafu kesho nakutumia mbele yake urudi kwenu ,

Aahh mamaee siwezi kuvumilia huo ujinga eti mke kaliwa na unajua kuwa kaliwa na Fulani then still Bado umaendelea kuwa nae huo udhaifu wa kipumbavu uniepuke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…