Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Nilishasema.
Oa mwanamke atakayekuheshimu siku zote za maisha yako. Kumbuka kila mwanamke ana sehemu za Siri, hata awe na sura mbaya au flat screen.
Wengi wenu hamjajua mpaka leo kilichobebwa ndani ya flat screen, ndiyo maana huwaweka 2nd class!

Mi hizo dharau nilikuwa nazo enzi zilee!

Siku moja nikaja kuvutiwa na msura, nikasema simba niliyezidiwa ngoja leo nile nyasi, ebhaanaee, nilipiga saluti mara mbilimbili na kuhesimu mazima.
 
Pole brother, mambo ya kujitakia bro
 
Na hao mnaoangalia makalio?
Wengi wao wanavaa vimini in public areas ili kuleta attention tena maofisini ndio balaa,cku hizi wanakuja makazini kwa bajaji or wanachukua bolt/uber lkn nguo wanazovaa!!!eeeh mungu saidia kizazi hii hali ni mbaya sn cku hizi
 
Mkuu yamekukuta nini?😆😆 Wapo wengi sana hao wakiamini hata ukimuacha atapata mwengine bila kujua majukumu ya kulala na mwanaume kitanda kimoja.
 
Pole mkuu
 
Mim ninachoamini kinachokufanya umfuate mwanamke ni sura kwanza hayo mengine ya tabia zake ni baadaye ndo maana mwanaume anatamani kwanza ndo aanze kutongoza hizo tabia ni kwa wale wazee wetu wa zamani unatafutiwa mke na wazazi kwa kukueleza kuwa kwa mzee fulani wana tabia nzuri karne hizi tunakutana baa alafu tunaanzisha mahusiano unakwepa vipi? Uzuri wa mwanamke
 
Sasa mnaoa/mtaoa wanawake wa aina gani? maana aina zote za wanawake mwazitoa kasoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…