Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
Screenshot_20250621_093143_Google.jpg

Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.

Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi

Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine

Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale

Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu

Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde

Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde

Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye

Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera

Ni hayo tu!
 
View attachment 3377475

Ulishawahi kukosa pesa hata sh 100 ya kula unaishi nyumba ya kupanga na mwisho wa mwezi tayari........
 
Usichill utaoza pambana nawe upate hivyo vizuri unavyoona ila ikishindikana kuvipata basi shukuru kwa pumzi na uendelee kuishi maisha ya uwezo wako.

Nyumba yenye eneo kubwa lenye garden nzuri ni kitu napenda sana na nje ipaki ndinga fulani hivi kali. Ni ndoto tu sijui naota kweli, hebu niamke nikapambane hata kama nililala saa tisa.

Pambania hiyo kombe jombi
 
Hii ndio kanuni yangu ya maisha, kutojipa stress za kijinga , huwa nikijisikia kulewa nalewa , nikijisikia kwenda club ku dance na watoto wazuri nafanya hivyo .

Ila kitu ambacho sipaswi kukisahau ni kuwa mimi ni nani na malengo yangu yanapaswa kutimia .
 
A mindset of a poor man pleasing his heart and colleague's. Pambana weka pembeni excuses. Don't be selfish you're not born for yourself, you're born for others and for thriving generations
Expert wangu,hapo ushapambana sana tayar,kwahiyo mwisho wa siku unachagua kuukubali ukweli na hiyo ndio tiba halisi
 
Back
Top Bottom