Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #161
Ni ukweli mtupu expert wanguShukuru kwa chako kidogo ulichonacho na usisikitike na kunung'unika kwa kikubwa alichonacho mwenzako.
Ni ukweli mtupu expert wanguShukuru kwa chako kidogo ulichonacho na usisikitike na kunung'unika kwa kikubwa alichonacho mwenzako.
🤣🤣🤣Ndio mana hukutaka tabu ukaamua kuazima ndinga Kwa mchizi wako ili uwende kuwachek madogo.
Mtalaka wako akajua umenunua ndinga mpya akavuta kumbukumbu ya Zamani ngali kipindi mkiishi Kwa furaha.
Ukiyatafakari maisha sana, utaona hayana maana; tuache mbwembwe.
View: https://www.youtube.com/watch?v=wpd7pMX971I&pp=ygUeYWJvbmRvbmVkIGhvbWUgd2l0aCBoZWxpY29wdGVy
Binadamu ameumbiwa kusahau.Hii video inaeleeza kila kitu kwamba mwisho wa siku haijalishi tutaishi maisha ya namna gani,tutakufa tu
Huyu mwamba alikuwa na magar 11,ndege 2,trekta na boti na jumba la maana tu,lkn alikufa
Tutengeneze maisha yajayo