Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hakika mkuu n kweli kabisa.Usifikirie hata kuacha.. do it for the love of your life. Ukiyapenda maisha yako hutaacha kupambana
Hakika mkuu n kweli kabisa.Usifikirie hata kuacha.. do it for the love of your life. Ukiyapenda maisha yako hutaacha kupambana
Sawa njogireSi unanionaga hamnazo mi nna madini kinoma
Pimbi weweSawa njogire
Unapasha kiporo kimtindoNilisha achana na drama za kipumbavu, kama ni offer namtembezea na hata pesa akanikopa last time tuomeonana "nitakurudishia" mi kimya nikampa like nothing, week ya 3 sasa kimyaaa 😂 na mimi sinaga hata masiliano nae ile kwenye simu ni madogo tu hunipigia kwa simu yake 😂
Never never never never eveeeeer mzee!!!!Unapasha kiporo kimtindo
GborkaPimbi wewe
For the cultureNever never never never eveeeeer mzee!!!!
Never happens mzee. Sina hata huo mpango nae.For the culture
Ndio niniGborka
Expert wangu una haki na kuamini unayoamini wala sina tatizo na hiloSiungi mkono haya mawazo yako, kwani yanaakisi mtazamo wa kukata tamaa, kukosa ubunifu na kutotaka kubadilika au kutafuta njia mbadala za mafanikio. Ukiendelea na aina hii ya fikra, utaishia kuwa mtazamaji tu katika safari ya maisha. Wapo wanabodi wengi humu ndani wanaoelewa vyema hoja nayogongelea msumari hapa
Sio raha tu bali ni neema kubwa sana,ukitaka kujua thamani ya pumzi,tembea hospitalini uone wenzetu wanao tumia gas za kupumulia ndio tutajua neema ya pumzikuvuta pumzi nayo raha sema haujui tu .....
Hili nalo neno....! Turidhike tulipo ila tuongeze juhudiii na hakuna kukata tamaaView attachment 3377475
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi
Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine
Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale
Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu
Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde
Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde
Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye
Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Ni hayo tu!
Expert wangu umesema kweli kabisa,hakika utajiri una siri kubwa sana,jana kwenye makazi ya kishua ni waarabu hao,kuna watoto wawili wa kike na kiume wenye umri nikikadiria kama 27 mpaka 30Maisha mazuri yanawezekana sana, wewe amua tu kuwa adui wa serikali, mbwa wa serikali au ukosane na Mungu mazima.
Hatima yako utajuana nayo mwenyewe mbele kwa mbele.
Sikumaanisha kwamba we should give up everything nah,ila baada ya hustle na mapambano makubwa na matokeo yakabakia vile vile basi kubali hatima yako na kuwa na amani coz maisha sio ya mileleGet rich... or die trying.
Mindset kama yako haitakiwi. Kwasababu tu kuna kifo haimaanishi usijaribu.
"If today were the last day of my life, would I want to do what I am about to do today?" -Steve Jobs
Kuteseka akhera tunataka wenyewe tu, ni kufuata mamrisho ya Mungu na kuacha makatazo yake basi,hatuhitaji mtaji kuyafanya hayaAcha kujifariji boy, ifanye dunia kuwa pepo yako maana tukifa hatuna guarantee ya kwenda peponi.
Yan ukifa ukateseke motoni na duniani tena uteseke? Hell No boy
💪💪Exactly..
Utajiri na Majumba mazuri kwangu na kizazi changu kijacho, Yafaa nini endapo siku moja mimi na kizazi changu tutakufa hatutaishi Milele.?
Yes, Pambana ila isifike kiasi Utajiri au kusaka Utajiri kukakufanya ukauweka nafasi Ya Mungu.
Ukakosa amani na kumkosea Mungu. Itakuwa haina Maana.
Utajiri wa Duniani ni kama Utajiri wa ndotoni. Unaota ni tajiri lakini ukishtuka you have Nothing.
Tatizo watu mnaogopa kusikia kwamba mtakufa au sioHizi ni fikra potofu. Huyu ni motivational speaker. Umaskini unakera,unaboa na unanuka. Inuka pambana na ww upate gari kali hii kusema tutakufa ni maneno ya wakosaji