Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #81
Expert wangu, point hapa iko hivi,hatusemi tuwe warahisi kukata tamaa au kuacha kupambana,ila inafika kipindi unapanga lkn maisha au fate inakupangiaHili wazo linaweza kukuaminisha lipo sawa ila halipo sawa ni kwa mtazamo wangu lakini ni kasauti kwa kujitia moyo pale unapojiona upo out of race shetani anaitumia hii sana kwa watu wenye uwezo kipawa na nyota za kufika mbali so hiyo sauti unayoisikia ya kukupa moyo kuacha vitu viwe kama vilivyo ni anguko na mwisho wake sio mzuri
When it comes to that stage,option ni kukubali ukweli kwamba haya ndio maisha yangu