LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Just live your life ManNaam mkuu malengo n hayo lakini nikiishia kwenye baskeli pia sawa kikubwa nimepambana nipate ila nikakosa.
Just live your life ManNaam mkuu malengo n hayo lakini nikiishia kwenye baskeli pia sawa kikubwa nimepambana nipate ila nikakosa.
Hahaha wewe unacheza huku unang'atanga'ta vidole...
TherapyView attachment 3377475
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi
Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine
Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale
Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu
Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde
Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde
Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye
Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Ni hayo tu!
Ndio mana hukutaka tabu ukaamua kuazima ndinga Kwa mchizi wako ili uwende kuwachek madogo.Just live your life Man
Kufa kupo pale pale, lakini kuacha kuchakalika na kujenga ukwasi, kuleta Tulsa zenye manufaa kwa wengine, kisa kuna kifo,huo ni ubinafsi mkubwa, Ila watu weusi ndio wanawaza, hv,View attachment 3377475
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi
Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine
Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale
Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu
Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde
Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde
Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye
Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Ni hayo tu!
Nakupenda sana mwanangu poorUna wazimu wewe.
Sina baba ka weww mimi
Hapo ukumbuke gari yangu pia nimeitelekeza nakususia washkaji waitumie.Ndio mana hukutaka tabu ukaamua kuazima ndinga Kwa mchizi wako ili uwende kuwachek madogo.
Mtalaka wako akajua umenunua ndinga mpya akavuta kumbukumbu ya Zamani ngali kipindi mkiishi Kwa furaha.
Hatari kabisa kaka.Hapo ukumbuke gari yangu pia nimeitelekeza nakususia washkaji waitumie.
Jumba langu kubwa zuri leo hii limekua gofu, hata wanangu hawakai, wamebanana kwenye chumba sebule kwa akili za kipumbavu za mama yao
Saad30 nimejifunza kitu kwenye maisha kikubwa sana ,ila kuna namna kama namuelewa mleta maada japo sitaki kumuunga mkono moja kwa moja.
Kivipi??
magari unaweza pata popote tu, hata ya kuazima like i do now kila nikitia mguu Dar matumia magari ya washkaji.
kuhusu malazi hiwez kosa pa kilaza ubavu hata kama sio kwenya jumba kali au nyumba yako. Utalala tu popote.
So JUST LIVE LIFE
Walaaa..she is very comfortable . Labda kama she good at pretending. Hata last week tumekua pamoja nilifika kuwaona madogo. Story ile casual yanHatari kabisa kaka.
Tuseme Tu Sisi wanaume tumeumbwa kutafuta Kwa Nguvu na akili.
Mkuu umepambana Sana watoto Sasa wanaishi na mazazi mmoja Kwa upumbavu WA mama.
Bila Shaka anajuta pakubwa sana
Waache tu wajifariji kwenye umaskin. Umaskin mbaya sana..sababu Kuna kufa eti unakufa unawaacha familia yako kwenye shida kubwa Hadi watoto wanakulaani huko uliko tena wanakuambia ungetoa hata kafara kwa ajili yao...Kufa kupo pale pale, lakini kuacha kuchakalika na kujenga ukwasi, kuleta Tulsa zenye manufaa kwa wengine, kisa kuna kifo,huo ni ubinafsi mkubwa, Ila watu weusi ndio wanawaza, hv,
Huko ulaya, kuna tafiti zinafanyika kuweza kutengeneza tekinolojia itakayowezesha ndege inapofeli huko angani, cabin ya abilia,ijichomoe, iruke na mapalachuti na kutua chini! Wanaowaza hv hawana shida ya hv vitiolioni vya pesa, wanavyovingi, Ila wanasukumwa na humanity, wanataka waiache dunia ikiwa Bora kuliko walivyoikuta,
Ila mmatumbi, na mswahili akishiba ugali, anaona hakuna haja ya Ku tafuta wanna, maaana, kuna kifo, sasa, mzungu angewaza kama sie, hizo V8, iphone, Boeing, insta, Facebook, zingetoka wapi? Tuache ubinafsi
Babu kubwa kamanda umeponaWalaaa..she is very comfortable . Labda kama she good at pretending. Hata last week tumekua pamoja nilifika kuwaona madogo. Story ile casual yan
Kuna mchangiaji kashamaliza "ni kweli magari makali na nyumba kali ni vitu vya kupita Ila hakikisha vinapita kwako "🤣🤞Siungi mkono haya mawazo yako, kwani yanaakisi mtazamo wa kukata tamaa, kukosa ubunifu na kutotaka kubadilika au kutafuta njia mbadala za mafanikio. Ukiendelea na aina hii ya fikra, utaishia kuwa mtazamaji tu katika safari ya maisha. Wapo wanabodi wengi humu ndani wanaoelewa vyema hoja nayogongelea msumari hapa
Nilisha achana na drama za kipumbavu, kama ni offer namtembezea na hata pesa akanikopa last time tuomeonana "nitakurudishia" mi kimya nikampa like nothing, week ya 3 sasa kimyaaa 😂 na mimi sinaga hata masiliano nae ile kwenye simu ni madogo tu hunipigia kwa simu yake 😂Babu kubwa kamanda umepona
Sawa mkuu ila kupambana siachiJust live your life Man
Usifikirie hata kuacha.. do it for the love of your life. Ukiyapenda maisha yako hutaacha kupambanaSawa mkuu ila kupambana siachi