Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Expert wangu,hapo ushapambana sana tayar,kwahiyo mwisho wa siku unachagua kuukubali ukweli na hiyo ndio tiba halisi
Mkuu hapa duniani hakuna kitu kama "kuukubali ukweli" kama usemavyo. Kama ndivyo basi commit tu suicide huna maana wala sababu ya kuishi. Unless uko mahututi kitandani hujiwezi!

Tuache ubinafsi. Tupambane kwa niaba ya wategemezi wetu, tuwaache wakiwa heri kuliko sisi.

Tuendako hatukujui, kama tusivyojua tulikotoka. One God.
 
View attachment 3377475

Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.

Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi

Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine

Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale

Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu

Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde

Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde

Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye

Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera

Ni hayo tu!
Mbaya zaidi tukifa hatuzikwi na Hivyo vitu,hata demu wako anapata Dume lingine!
 
Mkuu hapa duniani hakuna kitu kama "kuukubali ukweli" kama usemavyo. Kama ndivyo basi commit tu suicide huna maana wala sababu ya kuishi. Unless uko mahututi kitandani hujiwezi!

Tuache ubinafsi. Tupambane kwa niaba ya wategemezi wetu, tuwaache wakiwa heri kuliko sisi.

Tuendako hatukujui, kama tusivyojua tulikotoka. One God.
Expert wangu ni kweli una point ya msingi,na nakuelewa sana,je hao wote ambao wanahangaika na maisha unadhani hawapendi kutoboa?

Wanapenda sana lkn inafika kipindi yani kama gari umekanyaga mafuta mpaka mwisho na hakuna spidi inayoongezeka

Kwahiyo huo ndio ukweli ukifika stage kubali tu ukweli na utakuwa na amani moyoni
 
Siungi mkono haya mawazo yako, kwani yanaakisi mtazamo wa kukata tamaa, kukosa ubunifu na kutotaka kubadilika au kutafuta njia mbadala za mafanikio. Ukiendelea na aina hii ya fikra, utaishia kuwa mtazamaji tu katika safari ya maisha. Wapo wanabodi wengi humu ndani wanaoelewa vyema hoja nayogongelea msumari hapa
 
Hii ndio kanuni yangu ya maisha, kutojipa stress za kijinga , huwa nikijisikia kulewa nalewa , nikijisikia kwenda club ku dance na watoto wazuri nafanya hivyo .

Ila kitu ambacho sipaswi kukisahau ni kuwa mimi ni nani na malengo yangu yanapaswa kutimia .
Mlengo yangu kwa sasa ni kumfanya huyu mama mwenye nyumba awe mshangazi wangu..

Na nishaanza kufanikiwa alhamdullilah maana namchatishaga usiku na fresh tuu. Kwa sasa ananiita mwanangu mtundu sijui why
 
Cheza na malengo yako , huwenda ukawa baba mwenye nyumba bila kujua bei ya misumari na bati , yote ni maisha tu bwashee
 
Back
Top Bottom