Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

In.short umepanick
Duu upo serious mkuu,kama kuna watu ambao wamejifunza kuyachukulia maisha ize basi ni mimi

Nimejifunza kwanza furaha ya kweli haipatikani kwa mali au mambo mengine bali furaha na amani ya kweli inapatikana ndani yangu na kwa kiasi gani nayachukulia mambo na nayaangali mambo

Nipo hivyo daima
 
Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Huko akhera SI ndy Kuna zile sild72
 
Duu upo serious mkuu,kama kuna watu ambao wamejifunza kuyachukulia maisha ize basi ni mimi

Nimejifunza kwanza furaha ya kweli haipatikani kwa mali au mambo mengine bali furaha na amani ya kweli inapatikana ndani yangu na kwa kiasi gani nayachukulia mambo na nayaangali mambo

Nipo hivyo daima
Tafuta pesa wewe ule maisha. Kufa kupo tu, uwe maskini au tajiri hilo lipo tu.
 
View attachment 3377475

Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.

Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi

Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine

Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale

Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu

Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde

Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde

Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye

Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera

Ni hayo tu!
Si rahisi kukosa vitu vizuri harafu ukarelax kama uko ulimwengu wa nyama, Na wanaosema huwa wanavumilia kukosa vitu wanavyovipenda na maisha yakaenda sawa huwa ni kuigiza tuu,my take kumbuka kuwa ulimwenguni tumekuja kwa sababu maalum, kitendo cha Mimi na wewe kupenetrate hadi huku ulimwengunii tuna sababu kubwa ya kuletwa, jiulize swali dogo tu wewe unaweza kutoka home na akiri timamu ukaenda sehemu fulani bila sababu maalum? Mungu atupe mwisho mwema.
 
Tafuta pesa wewe ule maisha. Kufa kupo tu, uwe maskini au tajiri hilo lipo tu.
Nina mashaka kama umeelewa andiko langu,sipingi kutafuta maisha na kuinjoy maisha mazuri

Ila pale ambapo ndio imekuwa majaliwa yako,basi ikubali hali yako na utakuwa na amani
 
Hili wazo linaweza kukuaminisha lipo sawa ila halipo sawa ni kwa mtazamo wangu lakini ni kasauti kwa kujitia moyo pale unapojiona upo out of race shetani anaitumia hii sana kwa watu wenye uwezo kipawa na nyota za kufika mbali so hiyo sauti unayoisikia ya kukupa moyo kuacha vitu viwe kama vilivyo ni anguko na mwisho wake sio mzuri
 
Si rahisi kukosa vitu vizuri harafu ukarelax kama uko ulimwengu wa nyama, Na wanaosema huwa wanavumilia kukosa vitu wanavyovipenda na maisha yakaenda sawa huwa ni kuigiza tuu,my take kumbuka kuwa ulimwenguni tumekuja kwa sababu maalum, kitendo cha Mimi na wewe kupenetrate hadi huku ulimwengunii tuna sababu kubwa ya kuletwa, jiulize swali dogo tu wewe unaweza kutoka home na akiri timamu ukaenda sehemu fulani bila sababu maalum? Mungu atupe mwisho mwema.
Iko hivi,watu tunatofautiana sana test katika maisha,unachopenda wewe sio lazima nipende mimi

Kuna watu wanahitaji kupata mlo wao wa kila siku,sehemu ya kulala na vitu vidogo vidogo,kwao hayo ndio maisha

Kuna ambao mnapenda muwe high profile ukipita kila mtu akujue fulani anapita au amekuja,kwahiyo kila mtu ana uchaguzi wake katika maisha

Kwahiyo iko hivyo
 
Ok. Ila.usikate tamaa bwana mapamabano yaenndelee si unaona akina mseven na wasira
Yep hakuna kukata tamaa,si umeona prince Charles kasubir mpaka kwenye 70's kawa king

Mzee wa KFC baada ya kustaafu akiwa 66 ndio katoboa

Haijaisha mpaka pumzi ya mwisho
 
Iko hivi,watu tunatofautiana sana test katika maisha,unachopenda wewe sio lazima nipende mimi

Kuna watu wanahitaji kupata mlo wao wa kila siku,sehemu ya kulala na vitu vidogo vidogo,kwao hayo ndio maisha

Kuna ambao mnapenda muwe high profile ukipita kila mtu akujue fulani anapita au amekuja,kwahiyo kila mtu ana uchaguzi wake katika maisha

Kwahiyo iko hivyo
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini Kila kitu hata kiwe ni cha kawaida lazima kipatikane Kwa kukitafuta? Hakuna anayeridhika low level mkuu, pengine tu tukubaliane kudanganyana kama tulivyozoea.
 
Back
Top Bottom