Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Ndio mkuu ndo mambo napendaUnataka kitonga usilipe kodi😂😂
Ndio mkuu ndo mambo napendaUnataka kitonga usilipe kodi😂😂
Sasa 2070 si kesho tu? Yani ni miaka 34½ 😁Mi nipo hapa mpaka 2070
kuvuta pumzi nayo raha sema haujui tu .....
Acha kuninafikia... Ungeishia tuu kusema takua baba mwenye nyumba......Cheza na malengo yako , huwenda ukawa baba mwenye nyumba bila kujua bei ya misumari na bati , yote ni maisha tu bwashee
Riziki inatoka kwa Mungu,kupambana peke yake sio formuler ya mafanikio,kuna ambao wanakesha wanapambana lkn mambo badoNi kweli ndinga kali, majumba makali yanapita ila hakikisha yanapitia na kwako pia.
Soma vizuri tena bwasheeAcha kuninafikia... Ungeishia tuu kusema takua baba mwenye nyumba......
Ila hapo ulipoongezea kwmba sijui bei ya bati wala misumari huo ukorofi...
Mi ukorofi staki humu ka vpi tutafute sehemu tuzichape live live 😂😂😂😂
Mkuuu so poa lakini 2070 sio poa mkuu..Sasa 2070 si kesho tu? Yani ni miaka 34½ 😁
Siwezi kuziacha, we baki na zako nami nabaki na zangu. Endelea kujitafutia zako.Mi nimezaliwa kwa ajili ya kutafutia wengine au...?
Acha zako mkuu
Nusu Albino hii ni bonge la point kudadadekiUsichill utaoza pambana nawe upate hivyo vizuri unavyoona ila ikishindikana kuvipata basi shukuru kwa pumzi na uendelee kuishi maisha ya uwezo wako.
Nyumba yenye eneo kubwa lenye garden nzuri ni kitu napenda sana na nje ipaki ndinga fulani hivi kali. Ni ndoto tu sijui naota kweli, hebu niamke nikapambane hata kama nililala saa tisa.
Pambania hiyo kombe jombi
Wana sema Kama sio Kwa ajili yako fanya kwa ajili ya familia yako, kizazi chako na hata malengo yako.A mindset of a poor man pleasing his heart and colleague's. Pambana weka pembeni excuses. Don't be selfish you're not born for yourself, you're born for others and for thriving generations
Wewe unaona mingi lakini ni michache kuliko umri nilioishi alafu naona juzi tu nilikua mtoto 😒Mkuuu so poa lakini 2070 sio poa mkuu..
Oooh
Mimi siungi mkono kupambana kwa kujipa stress , napenda sana kupambana huku nikiishi kwa raha pia🤔Wana sema Kama sio Kwa ajili yako fanya kwa ajili ya familia yako, kizazi chako na hata malengo yako.
Kwani kupambanana nako ni stress?Mimi siungi mkono kupambana kwa kujipa stress , napenda sana kupambana huku nikiishi kwa raha pia🤔
In.short umepanickView attachment 3377475
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi
Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine
Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale
Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu
Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde
Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde
Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye
Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Ni hayo tu!
Faza yupi ? Wakati me ndo faza wako unakosa adabu eeh ?Faza kwwma...
Ulipotea sana
Tuzichape basi tuone nani atakua mshindiSiwezi kuziacha, we baki na zako nami nabaki na zangu. Endelea kujitafutia zako.
Daaah hatareee snaWewe unaona mingi lakini ni michache kuliko umri nilioishi alafu naona juzi tu nilikua mtoto 😒