Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,705 Reaction score 30,041 Jun 22, 2025 Thread starter #161 KUTATABHETAKULE said: Shukuru kwa chako kidogo ulichonacho na usisikitike na kunung'unika kwa kikubwa alichonacho mwenzako. Click to expand... Ni ukweli mtupu expert wangu
KUTATABHETAKULE said: Shukuru kwa chako kidogo ulichonacho na usisikitike na kunung'unika kwa kikubwa alichonacho mwenzako. Click to expand... Ni ukweli mtupu expert wangu
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,705 Reaction score 30,041 Jun 22, 2025 Thread starter #162 Saad30 said: Ndio mana hukutaka tabu ukaamua kuazima ndinga Kwa mchizi wako ili uwende kuwachek madogo. Mtalaka wako akajua umenunua ndinga mpya akavuta kumbukumbu ya Zamani ngali kipindi mkiishi Kwa furaha. Click to expand... 🤣🤣🤣
Saad30 said: Ndio mana hukutaka tabu ukaamua kuazima ndinga Kwa mchizi wako ili uwende kuwachek madogo. Mtalaka wako akajua umenunua ndinga mpya akavuta kumbukumbu ya Zamani ngali kipindi mkiishi Kwa furaha. Click to expand... 🤣🤣🤣
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,705 Reaction score 30,041 Jun 22, 2025 Thread starter #163 Equation x said: Ukiyatafakari maisha sana, utaona hayana maana; tuache mbwembwe. View: https://www.youtube.com/watch?v=wpd7pMX971I&pp=ygUeYWJvbmRvbmVkIGhvbWUgd2l0aCBoZWxpY29wdGVy Click to expand... Hii video inaeleeza kila kitu kwamba mwisho wa siku haijalishi tutaishi maisha ya namna gani,tutakufa tu Huyu mwamba alikuwa na magar 11,ndege 2,trekta na boti na jumba la maana tu,lkn alikufa Tutengeneze maisha yajayo
Equation x said: Ukiyatafakari maisha sana, utaona hayana maana; tuache mbwembwe. View: https://www.youtube.com/watch?v=wpd7pMX971I&pp=ygUeYWJvbmRvbmVkIGhvbWUgd2l0aCBoZWxpY29wdGVy Click to expand... Hii video inaeleeza kila kitu kwamba mwisho wa siku haijalishi tutaishi maisha ya namna gani,tutakufa tu Huyu mwamba alikuwa na magar 11,ndege 2,trekta na boti na jumba la maana tu,lkn alikufa Tutengeneze maisha yajayo
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Jun 22, 2025 #164 Ertugrul Bey said: Hii video inaeleeza kila kitu kwamba mwisho wa siku haijalishi tutaishi maisha ya namna gani,tutakufa tu Huyu mwamba alikuwa na magar 11,ndege 2,trekta na boti na jumba la maana tu,lkn alikufa Tutengeneze maisha yajayo Click to expand... Binadamu ameumbiwa kusahau.
Ertugrul Bey said: Hii video inaeleeza kila kitu kwamba mwisho wa siku haijalishi tutaishi maisha ya namna gani,tutakufa tu Huyu mwamba alikuwa na magar 11,ndege 2,trekta na boti na jumba la maana tu,lkn alikufa Tutengeneze maisha yajayo Click to expand... Binadamu ameumbiwa kusahau.
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 7,464 Reaction score 12,564 Jun 22, 2025 #165 Mwisho wa siku vyote ni ubatili ,unashngaa una utajiri ili unakufa kitandani ukipambania kunywa hata fundo moja la uji.
Mwisho wa siku vyote ni ubatili ,unashngaa una utajiri ili unakufa kitandani ukipambania kunywa hata fundo moja la uji.