smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe.
Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa.
Ukiondoa faida ya pesa ambayo nililipwa, faida nyingine ni fursa ya kuenjoy maeneo mbalimbali ambayo nilibahatika kufika ukizingatia kwamba mimi napenda sana kusafiri.
Naikumbuka jumamosi moja ya february 2020 nikiwa iringa mjini.nilitoka hotelini kwangu mida ya saa tatu usiku, nikaenda pub ya jirani kupata chakula cha jioni.
Baada ya msosi nafsi yangu ikatamani kuchangamka zaidi.nikauliza vijana wa bodaboda sehemu ilipo nightclub, boda mmoja akanipeleka.
Tulifika ila mpaka leo sikumbuki jina la ile club wala mtaa ilipo. ndani ya club kulikuwa kumechangamka sana.
Baada ya kunywa chupa kadhaa za local beer, akili yangu ikachangamka.
Nikasogea katikati ya dancing flow nikinesa kuendana mdundo wa mziki.
Nikanza kuangaza huku na kule. hatimaye nikamuona binti fulani mzuri, kimo cha kati, brown skin,kavaa jeans tight ya kijivu na kitop cha rangi ya purple.
Nikamsogelea na kuchezanae nikichombeza maneno ya hapa na pale. katika mazingira yale ya kelele za mziki sidhani kama alikuwa ananisikia.
Hata hivyo nikashangaa amekuja kujumuika na mimi meza moja, kwa lugha ya watoto wa mjini binti alikuwa kanielewa.
Basi kuanzia hapo ratiba yetu ikawa ni kucheza mziki na kunywa beer.
Tulizoeana ghalfa ungeweza sema tunajuana kwa siku nyingi, kumbe tumekutana club saa chache zilizopita.ulevi bhana, wee acha tu.
Mpaka nakuja kucheki saa ilikuwa saa tisa usiku, ndani ya club sikuona dalili ya watu kupungua.
Nikaanza kuhisi uchivu na usingizi uliotokana na kulewa pombe. nikamuomba yule binti tuondoke wote.
Tukakodi bajaj kuelekea hotelini nilipofikia.tukafanya ya kufanya ambayo watu wiwili matured wa jinsia mbili tofauti huwa wanafanya.niseme tu ukweli, hitimisho la usiku wetu ulikuwa ni mtamu sana.
Tuliamka saa tatu asubuhi huku miili yetu ikiwa na hangover. ile asubuhi ndio tukafahamiana zaidi, kumbe anaitwa Irene mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo fulani maarufu pale Iringa.
Tuliagana vizuri sana na tangu siku hiyo hatujawahi kukutana tena. i may say it's was a one nightstand to remember.
Huu ni mwaka nne sasa, incase Irene yupo JF na akaona uzi huu, nataka nimwambie mimi ndio yule mkaka mrefu mwenye mwili wa wastani tuliyekutana ndani ya nightclub Iringa mjini, usiku wa february 2020.
Kwa sasa nimeacha/nimepumzika na mambo ya ulevi. mara ya mwisho kunywa beer ilikuwa 2022.
NB: nimeambatanisha kipande cha video nilichorekodi siku hiyo nikiwa ndani ya club. you can see the interior atmosphere of the club from that particular night. kwa wale wenyeji wa iringa mjini mnaweza kuitambua hiyo club ila sina hakika kama bado ipo.