Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

Sasa Malaya atakukumbuka kweli...??, ukute hio saa 9 mnakutana alishatoka kula zake vichwa kama vitano ndo akadondokea kwako.
Wanaume washamba wa malaya kama wewe mnatakiwa mchunwe hela zote hadi ngozi ndo akili iwakae sawa. Unaenda kulala na mtu mmekutana usiku, akikufia mule hotelini utasemaje..?

Tena kaingizwa king malaya mwenyewe hata hasomi chuo ni muuzaji kama wauzaji wengine

Exactly, yaani hili jamaa ni lishamba sana. Malaya hawezi kukupa ID yake ya kweli after just a night stand. Huyo mshkaji miyeyusho sana.

Kwa hiyo video club ilikuwa inaitwa La parte nimeenda mfululizo huo mkoa toka 2019 mpaka mwak huu club zote nazifahamu na huyo ulipata malaya wengi wao husema ni wanachuo kumbe Malaya wa Zizi huko

Hivyo vitu unakumbuka kimyakimya na hauna haja ya kumwadithia mtu.
By the way dada anaekuelewa mkiwa club ni muuza tu ambaye amekuja tega nyavu zake.
Hiyo Irene ni jina la kazi na the likes.
Ulivo zoba umefall kwa dada wa kujiuza na nowonder ushapoteza nauli kwenda msaka tena.
Wakongwe hizo vitu ni vya kawaida tu. Yaani tukienda sehemu tunakunywa gambe huku tukitega nyavu zetu tukalale na nani na wala hatukumbuki.
Dizaini we ni Lofa Promax Una fall hata kwa madada poa.
Mmemshambulia mleta mada bila sababu za msingi. Yeye ameleta mada kuwa siku hiyo alifurahia kuwa club na akapata mwanamke alielala nae na kufurahia na huyo mwanamke alijitambulisha kuwa ni Irene mwanafunzi wa chuo.

Sasa kuna kosa yeye kuandika hivyo? Hilo la kwamba ni malaya halimuhusu kwakuwa yeye sio mpelelezi kuanza kuchimbua historia ya mtu waliekutana kwenye starehe. Kikubwa ali enjoy hiyo siku basi.

haikuwa na haja ya kumtolea maneno ya shombo mleta mada
 
😂😂 tunataka picha

Huu ni mwaka 2024.Rekebisha sehemu hapo.Halafu,ni "dance-floor" siyo dancing floor/the floor which dances!

Bila shaka Hiyo night club inaitwa "Lockdown" na huyo mwanafunzi alikuwa anasoma "RUCU"

Sasa Malaya atakukumbuka kweli...??, ukute hio saa 9 mnakutana alishatoka kula zake vichwa kama vitano ndo akadondokea kwako.
Wanaume washamba wa malaya kama wewe mnatakiwa mchunwe hela zote hadi ngozi ndo akili iwakae sawa. Unaenda kulala na mtu mmekutana usiku, akikufia mule hotelini utasemaje..?

No wonder the national grid is overwhelmed.

Tena kaingizwa king malaya mwenyewe hata hasomi chuo ni muuzaji kama wauzaji wengine

Exactly, yaani hili jamaa ni lishamba sana. Malaya hawezi kukupa ID yake ya kweli after just a night stand. Huyo mshkaji miyeyusho sana.

Ngoja abakie huko huko iringa kwa washamba wenzake asije dar jiji la wajanja

Ume andika utazani uja wai kugonga tena toka February 2020

Ma iringa kulivyo na ukimwi sijui kama hukuubeba

Acha kukumbuka vitu kama hivyo, mwenzio hapo alikua kazini!

Kwa hiyo video club ilikuwa inaitwa La parte nimeenda mfululizo huo mkoa toka 2019 mpaka mwak huu club zote nazifahamu na huyo ulipata malaya wengi wao husema ni wanachuo kumbe Malaya wa Zizi huko

Hivyo vitu unakumbuka kimyakimya na hauna haja ya kumwadithia mtu.
By the way dada anaekuelewa mkiwa club ni muuza tu ambaye amekuja tega nyavu zake.
Hiyo Irene ni jina la kazi na the likes.
Ulivo zoba umefall kwa dada wa kujiuza na nowonder ushapoteza nauli kwenda msaka tena.
Wakongwe hizo vitu ni vya kawaida tu. Yaani tukienda sehemu tunakunywa gambe huku tukitega nyavu zetu tukalale na nani na wala hatukumbuki.
Dizaini we ni Lofa Promax Una fall hata kwa madada poa.

Mshamba mlima viazi wewe

Tatizo humu kuna vitoto vingi vina upwiru, halafu unawaambia ulikula kimasihara
Lazima wakutolee shombo la kutosha

Huyo irene usikute hawezi kukumbuka ameshaondoka na madanga kibao kwa mtindo huo..
Halafu usikute pia sio mwanachuo 😂
i'm back on jf after being out of it for a couple of days.i wish i could reply to your silly comments the moment i published this thread, unfortunately i was very busy.

they way you overreacted to my thread is an indicator of how serious some Tanzanians are suffering from mental illines.🤣🤣
 
Angalia kwenye kioo umuone chizi-fresh anakenua "manjino"!
 
nilikuwa nje ya makazi yangu kwa wiki nzima, nimerejea jana. nataka tuiamshe hii thread upya.

let's go guys.
 
kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe.

Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa.

Ukiondoa faida ya pesa ambayo nililipwa, faida nyingine ni fursa ya kuenjoy maeneo mbalimbali ambayo nilibahatika kufika ukizingatia kwamba mimi napenda sana kusafiri.

Naikumbuka jumamosi moja ya february 2020 nikiwa iringa mjini.nilitoka hotelini kwangu mida ya saa tatu usiku, nikaenda pub ya jirani kupata chakula cha jioni.

Baada ya msosi nafsi yangu ikatamani kuchangamka zaidi.nikauliza vijana wa bodaboda sehemu ilipo nightclub, boda mmoja akanipeleka.

Tulifika ila mpaka leo sikumbuki jina la ile club wala mtaa ilipo. ndani ya club kulikuwa kumechangamka sana.

Baada ya kunywa chupa kadhaa za local beer, akili yangu ikachangamka.

Nikasogea katikati ya dancing flow nikinesa kuendana mdundo wa mziki.

Nikanza kuangaza huku na kule. hatimaye nikamuona binti fulani mzuri, kimo cha kati, brown skin,kavaa jeans tight ya kijivu na kitop cha rangi ya purple.

nikamsogelea na kuchezanae nikichombeza maneno ya hapa na pale. katika mazingira yale ya kelele za mziki sidhani kama alikuwa ananisikia.

hata hivyo nikashangaa amekuja kujumuika na mimi meza moja, kwa lugha ya watoto wa mjini binti alikuwa kanielewa.

basi kuanzia hapo ratiba yetu ikawa ni kucheza mziki na kunywa beer.

tulizoeana ghalfa ungeweza sema tunajuana kwa siku nyingi, kumbe tumekutana club saa chache zilizopita.ulevi bhana, wee acha tu.

mpaka nakuja kucheki saa ilikuwa saa tisa usiku, ndani ya club sikuona dalili ya watu kupungua.

nikaanza kuhisi uchivu na usingizi uliotokana na kulewa pombe. nikamuomba yule binti tuondoke wote.

tukakodi bajaj kuelekea hotelini nilipofikia.tukafanya ya kufanya ambayo watu wiwili matured wa jinsia mbili tofauti huwa wanafanya.niseme tu ukweli, hitimisho la usiku wetu ulikuwa ni mtamu sana.

tuliamka saa tatu asubuhi huku miili yetu ikiwa na hangover. ile asubuhi ndio tukafahamiana zaidi, kumbe anaitwa Irene mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo fulani maarufu pale Iringa.

tuliagana vizuri sana na tangu siku hiyo hatujawahi kukutana tena. i may say it's was a one nightstand to remember.

huu ni mwaka nne sasa, incase Irene yupo JF na akaona uzi huu, nataka nimwambie mimi ndio yule mkaka mrefu mwenye mwili wa wastani tuliyekutana ndani ya nightclub Iringa mjini, usiku wa february 2020.

kwa sasa nimeacha/nimepumzika na mambo ya ulevi. mara ya mwisho kunywa beer ilikuwa 2022.

NB: nimeambatanisha kipande cha video nilichorekodi siku hiyo nikiwa ndani ya club. you can see the interior atmosphere of the club from that particular night. kwa wale wenyeji wa iringa mjini mnaweza kuitambua hiyo club ila sina hakika kama bado ipo.

Na hukuwahi kupata deal tena????
 
Back
Top Bottom