Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

i can't judge you.
you must be a victim of some mental disorder. anyway thanks for your comment 🤣
Niliishi miaka ya 1980th hadi 1990th mwishoni kule Tabora.Kuna mwehu mmoja aliitwa Amani-mwehu.Alipenda sana kuongea na kuandika broken-english!
 
Na hukuwahi kupata deal tena????
ndio kwanza nimerudi jana hapa kwangu, i was on a 7 days trip to five regions of tanzania. jiulize ilikuwa trip ya vacation or deal la kazi.🤣
 
Niliishi miaka ya 1980th hadi 1990th mwishoni kule Tabora.Kuna mwehu mmoja aliitwa Amani-mwehu.Alipenda sana kuongea na kuandika broken-english!
i thought you could counter me in english to prove your english proficiency.🤣🤣
 
hiki ndio nilichikitaja,naona uzi wangu unaanza kutembea upya.,🤣
 
write in English please, I can't understand you.🤣🤣
Mimi ni mpagazi wa watalii.Nasikia,kuelewa na kujibu lugha yoyote kwa kiswahili.
NB-acha kupenda mteremko.Toa ushuru nikufunze lugha.
-Hatulazimishani kuandika lugha fulani.Wewe endelea na "broken-mwanjoka" zako.
 
it's not part of my concern to know what you do.

my main request here is you to write your comments in english.period.
 
m
mtu pekee ambaye umekuwa very positive kwenye uzi huu. shukrani sana ndg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…