Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

Iam grateful for such appellation
 
A Acha nature ifanye Kazi yake wewe mura
 
Naona wana wanakushukia hadi sio poa.
hawaniwezi, huu uzi ni wangu mimi,ukiona member wengine wanajipa shughuli ya kuushambulia uzi wako negatively, means wa wamevutiwa na mada husika.

wanabahati nilisafiri maeneo ambayo yana mawasiliano hafifu ya internet. otherwise ningewapelekea moto siku ileile nilipoupandisha uzi huu.
 
Ulienda kujitibu gono ukatelekeza uzi.Unataka kudanganya kwamba ulipoenda hakuna network/internet wala vocha za kununulia bando?Ungetumia hata vocha za kilimo?
 
Ulienda kujitibu gono ukatelekeza uzi.Unataka kudanganya kwamba ulipoenda hakuna network/internet wala vocha za kununulia bando?Ungetumia hata vocha za kilimo?
now write it in english.🀣🀣
 
Kwa hiyo video club ilikuwa inaitwa La parte nimeenda mfululizo huo mkoa toka 2019 mpaka mwak huu club zote nazifahamu na huyo ulipata malaya wengi wao husema ni wanachuo kumbe Malaya wa Zizi huko
Hahahaaaa zizi lang'ombe kwamama hossana pale dukan
 
another victim of mental disorder has decided to leave a comment on my thread to prove how stupid she/he is.

i need more people like you, please never forget to invite your fellow psychos.🀣🀣
undepi wewe au pivi..?
 
Umeingia lini mjini mzee?kama ulikua hujui kila malaya siku hizi huwa wanadanganya ni wanafunzi wa chuo flani,hapo dar kila malaya utasikia anasema ni mwanafunzi wa udsm au Ifm.
 
Umeingia lini mjini mzee?kama ulikua hujui kila malaya siku hizi huwa wanadanganya ni wanafunzi wa chuo flani,hapo dar kila malaya utasikia anasema ni mwanafunzi wa udsm au Ifm.
take that speech to 20-25 years kids, not me. i'm over it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…