Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

Ukiona msosi mezani halafu ukaanza kuwaza kusali huo ni ulimbukeni chakula kina nafasi yake na sala ina nafasi yake. Shiba kwanza chap kwa haraka tena sisi enzi hizo tulikua tunavamia sherehe tunaiba ndoo za wali na rojo tunaingia mgombani hapo kwa mama Mbauda tunapiga tenere mpaka tunasinzia hakuna kisali.
 
Umeona eeeh? Halafu wakati wanazika huwa wanajificha na shuka inasemekana wanamkata koo "kumchiinja marehemu"
ile ya kujifunika shuka asili yake ni kwa waarabu na kiukweli sio kabisa sehemu ya ibada ya mazishi kwa kadri ya imani ila mapokeo ndo yanatuponza.
lile shuka uwekwa kwa maeneo yao kwakuwa ni jangwa upepo wa vumbi kali usiwasumbue kipindi watu wakiendelea kuzika.
pia uhaba wa mbao jangwani unasababisha wao kutozikwa kwenye masanduku na kuwa sehemu ya utamaduni.
 
Vyakula vya misiba ya dini yetu, baada ya mtu kukamuliwa tumbo, maji kidogo toka tumboni huchotwa na kuchanganywa na wali. Mtakula na wote mtashiba hata kama chakula kilikuwa kidogo
ni kweli hili??? sjawahi kusikia
 
Uko sawa mtoa mada,hicho chakula kinapikwa na watu mbalimbali,wakimtaka mtu wanaweza kukusubl maeneo kama hayo.
 
Back
Top Bottom