Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

Hakuna ukweli katika hili...
Vipi kwenye harusi watachukua nini, vipi hakika ama hitma?
kwa kweli kwa hili nimeshtuka halaf ninakawaida ya kuhudhiria misiba na hua nakula chakula japo kidogo hii ni kwa maiti wa karibu wa mbali hua nazika wanaume wakirudi naanza kujiandaa kurudi
 
Vyakula vya misiba ya dini yetu, baada ya mtu kukamuliwa tumbo, maji kidogo toka tumboni huchotwa na kuchanganywa na wali. Mtakula na wote mtashiba hata kama chakula kilikuwa kidogo
sasa yale maji c yanakua na vichembe vya mavi jamani mbona naskia kuvurugika tumbo aisee
 
kwa kweli kwa hili nimeshtuka halaf ninakawaida ya kuhudhiria misiba na hua nakula chakula japo kidogo hii ni kwa maiti wa karibu wa mbali hua nazika wanaume wakirudi naanza kujiandaa kurudi
Hakuna ukweli katika hili, dini haisemi hivyo sana sana wafanye kwa ushirikina, ambao dini inapinga.
 
Haloo habari ya saizi

Kama mada tajwa hapo juu

Kama umepata nafasi kuhudhuria maharusi, msiba hakikisha unaomba kabla hujala utanishukuru baadae
Sherehe ndo tunaenda kula.Msibani kisheria tunapaswa kupeleka sisi vyakula au michango
 
Haloo habari ya saizi

Kama mada tajwa hapo juu

Kama umepata nafasi kuhudhuria maharusi, msiba hakikisha unaomba kabla hujala utanishukuru baadae

Actually kama inawezekana ni afadhali kuepuka kula kabisa!

Uchawi mtupu [emoji108]
 
Kula mate, makamasi,mikojo, kinyesi labda hilo halikwepeki kama wapishi ni washenz kuweka hivyo vitu ni dk 0

Ova
 
Mleta mada misiba unayozungumzia iyo ni ile ya zamani, kwa sasa misiba mingi uwa wanalishwa na cataring sasa embu toa ufafanuzi kidogo misiba ya aina gani!?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na kwenye mahoteli na mighahawani je ,si mnaendaga kula,huko napo tuombe siyo

Ova

Utajiju 😅

Na wale wanaofanya vipati visherehe kivyovyote mara kwa mara..

Bora kuepuka mengi kuliko.. kuvila.. sio lazima kula mtu ukikaribishwa.. kula home au restaurant kwanza
 
Uzi utakimbia sana huu maana watu wako hapa wa aina mbili watabishana mpaka kesho 😁
 
Mleta mada misiba unayozungumzia iyo ni ile ya zamani, kwa sasa misiba mingi uwa wanalishwa na cataring sasa embu toa ufafanuzi kidogo misiba ya aina gani!?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Eeeeh unakuwepo wanapopika
Kula mate, makamasi,mikojo, kinyesi labda hilo halikwepeki kama wapishi ni washenz kuweka hivyo vitu ni dk 0

Ova

Na wewe naye.. haupo dunia ganwi huelewi kwanini haya!!!
 
Utajiju [emoji28]

Na wale wanaofanya vipati visherehe kivyovyote mara kwa mara..

Bora kuepuka mengi kuliko.. kuvila.. sio lazima kula mtu ukikaribishwa.. kula home au restaurant kwanza
[emoji1] hii haikwepi basi

Ova
 
Back
Top Bottom