Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

Hata chakula ya gerezani pia inatakiwa kupigiwa maombi ya mfungo kabisa
 
Kwa uelewa wangu na uzoefu wa sherehe na misiba kuna kua na mtu anaesali kwaajili ya kubariki kile kilichoandaliwa iwe msibani au kwenye sherehe ukijiskia kuomba ww kama ww omba ila kukushukuru hakuna atakayefanya hivyo
 
Hakuna ukweli katika hili...
Vipi kwenye harusi watachukua nini, vipi hakika ama hitma?
Kwakweli namm nime yasikia haya, kuna jamaa yangu alikua anafanyiwa kisomo, sasa wkt wa mlo kuna jamaa akanitonya, kua vyakula haswa nyama ya mnyama alio chingwa pale, bora kinywaji maana ukila rizki zako zita kwenda kwake, mm mpaka sasahv km hiz Birthday sijui maulidi ati mtu kachinja mbuzi naskia kuna mambo flan pale yanafanyika 😄😄😄
 
Ni mambo ya kishirikina hayo.
 
Back
Top Bottom