kwa kweli kwa hili nimeshtuka halaf ninakawaida ya kuhudhiria misiba na hua nakula chakula japo kidogo hii ni kwa maiti wa karibu wa mbali hua nazika wanaume wakirudi naanza kujiandaa kurudiHakuna ukweli katika hili...
Vipi kwenye harusi watachukua nini, vipi hakika ama hitma?
unamfaham anayekukaribisha??Na ukikaribishwa chakula kwa mtu/nyumbani ????
Ova
Na kwenye mahoteli na mighahawani je ,si mnaendaga kula,huko napo tuombe siyoUko sawa mtoa mada,hicho chakula kinapikwa na watu mbalimbali,wakimtaka mtu wanaweza kukusubl maeneo kama hayo.
Je vitabu ndio vinasema hivyo?si unajua sisi hatufiki makaburini nimetaka kushangaa kwamba nikifa na mm nitachinjwa tena baada yakufa
sasa yale maji c yanakua na vichembe vya mavi jamani mbona naskia kuvurugika tumbo aiseeVyakula vya misiba ya dini yetu, baada ya mtu kukamuliwa tumbo, maji kidogo toka tumboni huchotwa na kuchanganywa na wali. Mtakula na wote mtashiba hata kama chakula kilikuwa kidogo
Hakuna ukweli katika hili, dini haisemi hivyo sana sana wafanye kwa ushirikina, ambao dini inapinga.kwa kweli kwa hili nimeshtuka halaf ninakawaida ya kuhudhiria misiba na hua nakula chakula japo kidogo hii ni kwa maiti wa karibu wa mbali hua nazika wanaume wakirudi naanza kujiandaa kurudi
ooh asante kwa kunieleweshaHakuna ukweli katika hili, dini haisemi hivyo sana sana wafanye kwa ushirikina, ambao dini inapinga.
Sherehe ndo tunaenda kula.Msibani kisheria tunapaswa kupeleka sisi vyakula au michangoHaloo habari ya saizi
Kama mada tajwa hapo juu
Kama umepata nafasi kuhudhuria maharusi, msiba hakikisha unaomba kabla hujala utanishukuru baadae
Haloo habari ya saizi
Kama mada tajwa hapo juu
Kama umepata nafasi kuhudhuria maharusi, msiba hakikisha unaomba kabla hujala utanishukuru baadae
Na huko ni balaa tupu.Na kwenye mahoteli na mighahawani je ,si mnaendaga kula,huko napo tuombe siyo
Ova
Uzuri hivyo vitu vikipikwa vinakuwa havina madharaKula mate, makamasi,mikojo, kinyesi labda hilo halikwepeki kama wapishi ni washenz kuweka hivyo vitu ni dk 0
Ova
wavaa kobasiDini gan mkuu?
popote Mungu kwanza ombeni bila kukoma, kwani kuomba ni sh. ngapiNa ukikaribishwa chakula kwa mtu/nyumbani ????
Ova
Na kwenye mahoteli na mighahawani je ,si mnaendaga kula,huko napo tuombe siyo
Ova
Mleta mada misiba unayozungumzia iyo ni ile ya zamani, kwa sasa misiba mingi uwa wanalishwa na cataring sasa embu toa ufafanuzi kidogo misiba ya aina gani!?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kula mate, makamasi,mikojo, kinyesi labda hilo halikwepeki kama wapishi ni washenz kuweka hivyo vitu ni dk 0
Ova
[emoji1] hii haikwepi basiUtajiju [emoji28]
Na wale wanaofanya vipati visherehe kivyovyote mara kwa mara..
Bora kuepuka mengi kuliko.. kuvila.. sio lazima kula mtu ukikaribishwa.. kula home au restaurant kwanza