Hakuna haja ya ku-confess, unakula malaya Afu uje ucomfess ili iweje?Hii inaukweli aslimia 100 %
Nachukia kulisema hili hata muda huu nimetoka kufanya hilo na mke wa Mtu ambae anaheshimika na kila anaemtizama ..
Soon nitakuja uzi wa confession.. Ni jambo nilis
Mtu yupo kwenye mtandao ambao hata haumjui ila anajivika ukondoo Kwenye umbwa mwitu alionao 😂Haina sababu Kijana, lakini kuletewa maigizo wakurungwa hatupendi na tunazungumza kibaharia tu.
Ww mwanamke umesema hv, mm mwanaume nibishe ili iweje 🔥Mpaka hapo tayari umeshacheat, ni suala la muda tu
Mkuu una uhakika gani kuwa mimi ni mwanamke?Ww mwanamke umesema hv, mm mwanaume nibishe ili iweje 🔥
Muache aendelee kusumbua mahakama, ila hukumu n ile ile, kulombwa.
Bc ww wa kiume.Mkuu una uhakika gani kuwa mimi ni mwanamke?
Walahi! 😂Na hakuna haja ya kuandika, kuliwa mtaliwa tuu hamna uwezo wa kukataa wote.
Sosho midia ni uwanja mpana sanaaaa, utakutana na watu wa kusini, mashariki, magharibi na kaskazini.Andika bhna 😅
💔😂Mbona umesha andika tayari?
Kwa wewe ulivyo utawalaumu bure wanaume shost weeeeSosho midia ni uwanja mpana sanaaaa, utakutana na watu wa kusini, mashariki, magharibi na kaskazini.
Halafu sio waoga kabisa kutongoza, mpaka najiuliza hivi ni kawaida?
Mi nimeanza kupost mwaka huu mwezi wa pili nina post chache tu lakini mhhhh! Wanaume!!!!! kama hawa ni wanaume zetu tumekwisha jamani!!!!!
Mtu analike post, then anakuja DM akiona haujibu DM anaenda kulike tena hivyo hivyo hadi umpe attention. Utadhani ana cha maana cha kusema mi nawaangalia tu nasema hiiiiiiiiiiii!Kwa sauti ya Uncle Magu (RIP)
Et unasema hiiii dah nimecheka 🤣🤣🤣🤣Sosho midia ni uwanja mpana sanaaaa, utakutana na watu wa kusini, mashariki, magharibi na kaskazini.
Halafu sio waoga kabisa kutongoza, mpaka najiuliza hivi ni kawaida?
Mi nimeanza kupost mwaka huu mwezi wa pili nina post chache tu lakini mhhhh! Wanaume!!!!! kama hawa ni wanaume zetu tumekwisha jamani!!!!!
Mtu analike post, then anakuja DM akiona haujibu DM anaenda kulike tena hivyo hivyo hadi umpe attention. Utadhani ana cha maana cha kusema mi nawaangalia tu nasema hiiiiiiiiiiii!Kwa sauti ya Uncle Magu (RIP)
Aaiiii mdogo wangu, Kule kwa nilichoelewa kila mtu ana mtuwe kiukweli, ni uwanja huru sana.Kwa wewe ulivyo utawalaumu bure wanaume shost weeee
Hata ningekua mimi mwanaume ningejaribu bahati yangu🤣🤣
Mie sina picha yoyote soshoo midiya huko mtu akinibahatisha status imeisha hiyo na naweka mara chache
Uongoo uongoo kuvuana nguo now days, simple sanaaaaaaaaa, we unachapika Nisha kusoma wewe mwepesi labda huyo jamaa mshambaa tu, hakukua na haja kumzungumzia hapa yumo kichwani mwako we unalika huna msimamomtu hata hatujakutana jamani
hivi unafikiri kuvuana nguo ni jambo rahisi sana
??
ni ngumu japo kwenye hili pia pagumu
napambana🤣🤣🤣
Ni kweliAaiiii mdogo wangu, Kule kwa nilichoelewa kila mtu ana mtuwe kiukweli, ni uwanja huru sana.
Wewe pia ni overthinker dear👏Nadhani haijalishi ukoje wala ukoje, nimepost vitu decent sana aisee! Nachanganyikiwa najiuliza wanaume wanaona nini? Au ni addiction yao tu kutongoza? Kama ni overthinker mwenzangu utapata uoga sana na uta-fear men!
Kiburi wanapewa🤣Nimeelewa sana kwanini wadada wazuri wana viburi!
Usijidanganye eti umependa hao madada wazuri insta wanaliwa kila siku, wadau wanataka nyapu tu sio wewe, ukisha lombwa unaeekwa pembeni, anatafutwa mwingine, ndo utaratibu tuliKua tunatumwa na madon kuwatongozea mademu top town tunaijua kabisa huyu akisha lombwa hana chake wengine akili kisoda ana vunja ndoa AOLEWE na kijana boss mtoto, nilikua naishia kusikitikatangu nimeolewa 10 yrs ago plus uchumba namjua tu mume wangu
Kuna anaecheat anasema??sijawah cheat
na sitakaaa na siwezi
Ila umalaya wa mbwa umekithiri mkuu.Wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.
Utakaza weeeeeeee, Ila n suala la muda tuu, utaliwa.