πππππππππππKuna jamaa(Hatufahamiani) aliazima yangu apige jamaa yake, sm imeita ghafla nasikia matusi ya nguoni nilistuka nikampokonya sm yangu, kwa hasira nikamuuliza kwann unatumia vibaya simu yangu... Jamaa alionekana na hasira sana akaondoka zake, kilichofatia aliniachia msala yule jamaa ambae alikua anaongea nae alikua anapiga sm kwa hasira napojaribu kupokea matusi yanakuja kwangu, baadae niliacha kupokea akaanza kutiririsha msg za matusi.... Mpaka Leo sielew ilikuaje, sijawah luazimisha tena simu kwa mtu nisiemuelewa.
Simu zinaponza wengi sana asee, inafika mda mtu akiazma smu yako unataman umpe jero akanunue vocha ajaze kwny smu yake,, but utawapa wangapiAisee hiyo kitu imetokea kwangu tarehe7 mwezi huu
Almanusra nikalazwe kituo chapolisi bahati nzuri polisi wanakuja wakanikuta nipo job
Daah ikabidi waniteme nakunipa maelekezo yakesho niende kuripoti kuandika maelezo.
Lets assume mtu mmezoeana kiasi but u dont have any clue about him/her afu mpo sehem, wakati umeishikilia smu yako gafla anakwambia,,Nakutana nayo sana ila sijawahi kushawishika kabisa nina kauchoyo mkuu kananisaidia sometimes
Anakwambia ni kakangu/dadangu/workmateMm huwa namuuliza mtu kwanza maswali haya:
"Unataka kuongea na nani mna undugu nae kivipi sipendagi kumpa mtu simu yangu matapweli wengi siku hizi".
ππππππππππππππππππππππKunaye mmoja aliomba aniazime simu ajipigie ali mis place simu yake
Nkamwambia Naomba kitambulisho cha NIDA
Yeye : Ngosha acha us*enge Nida kwani nakopa kausha damu?
Ahahahaha your class mate πππata mm nmekua surprised aseeeeππππni nan uyo tena
ata hum ndo mara ya kwanza namuonaπ€£π€£π€£π€£Ahahahaha your class mate πππ
Jifanye humjui hv hv