Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

You will be fine... you will be fine.
Sasa huyo mjomba wako alitaka uishi kwa huzuni maisha yako yote kwa kuoa mtu usiyempenda? Halafu mama yako alimpendea baba yako pochi? Yeye pia ni nyoka kwa baba yako?

Inaonekana umeandika ukiwa na maumivu makali moyoni huku umefulia. Wanawake tuishi nao kwa akili vinginevyo jiunge CHAPUTA.
 
Mama alishawai kuniambia kua mwanamke ndani yake Kuna ushetani,ukitaka Kuamini mwanamke anaushetani ndani yake, kati ya Wanaume na wanawake, wanawake wanaongoza kwa kua na mashetani Duniani kote. Au kupandisha mashetani.
Jomba wewe mzima kweli? Mbona kila kitu mama mama?
 
Mama yako alimaliza Kila kitu.
Katika vitu huwa namjaribu mwanamke niliye na malengo naye ni kumnyima pesa nione kama Bado atakuwa tayari kuwa nami
Tafuta hela wewe
Hii tabia yenu ya kimasikini ndio mnaipeleka mpaka kwa watoto wenu kwa kuwanyima hata nauli halafu tunakutana nao stendi wanatuomba nauli ya daladala kurudi nyumabni au kwenda shule....
 
K wewe una pesa Gani sasa?
 
Tafuta hela wewe
Hii tabia yenu ya kimasikini ndio mnaipeleka mpaka kwa watoto wenu kwa kuwanyima hata nauli halafu tunakutana nao stendi wanatuomba nauli ya daladala kurudi nyumabni au kwenda shule....
Sisomeshi kayumba ewe phalla
 
Mtoa mada alitaka kuwasilisha ujumbe flani.
Ila hajauwasilisha kwa usahihi.
Leo sio kama zamani.
 
Dah umemsingizia sana bi mkubwa
 
Haaaa, ndugu Ninavyoilinda pesa, kwa akili yangu Yote, na niko makini na Pesa yangu, Wewe cheza na vingine sio pesa maana mm sio muajiriwa kua mwisho wa mwezi napewa mzigo wa pesa, ni mwendo wa kukipambania pesa iingie ndugu yangu.
 
Akili zao ni upuuzi tu.
Wabinafsi sana
 
Mama kama mama on duty, huyo mama kila akimuangalia mumewe anamng'ong'a kimoyo moyo
 
Mimi nina mke niliyempenda sana since back then hapa tuna 21yrs katika ndoa, thanks to her kwani amenivumilia mengi.
Tukupe mda, mpaka mda huu ndoa ya baba na mama yangu inashikiliwa na sisi watoto na bila hivyo ingekua mpaka mda huu ni chali na hapa chanzo ya yote ni mama coz baba alipata ulemavu wa macho.
 
Mama alishawai kuniambia kua mwanamke ndani yake Kuna ushetani,ukitaka Kuamini mwanamke anaushetani ndani yake, kati ya Wanaume na wanawake, wanawake wanaongoza kwa kua na mashetani Duniani kote. Au kupandisha mashetani.
Vp wanaume hatuna shetani? Tunanini sisi? Au cc ndio shetani wenyewe?
 
Tafuta hela wewe
Hii tabia yenu ya kimasikini ndio mnaipeleka mpaka kwa watoto wenu kwa kuwanyima hata nauli halafu tunakutana nao stendi wanatuomba nauli ya daladala kurudi nyumabni au kwenda shule....
Kwa hiyo wewe umetafuta hela za kupandia Daladala?
 
Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
"Mpwa wangu katika maisha yako usioe mke unaempenda".
Sentensi hii inanichanganya unawezaje kuacha kumwoa mtu ambaye umesha mwoa ambaye tayari ni mke.

Tafadhali nieleweshe.
 
Mengine vitisho tu, kuishi na mwanamke asiekupenda ndio janga zaidi.
 
Mkuu usimpe mwanamke moyo wako wote, wanabadilika muda wowote
Acha kuishi na wasiwasi katika mambo yaliyo nje ya uwezo wako, mimi nikionyeshwa upendo na mimi naonyesha upendo, upendo ukiwa haupo na mimi kwangu unaisha, kwahiyo sitoi 100% kwenye 10% lakini pia siwezi kuacha kumpenda anaenipenda sasa hivi kwa kuhofia atabadilika badae
 
Upo sahih mkuu, Pia watu hawafanani, wengi hua tunafanya hitimisho la jumla kwa makosa ya wachache jambo ambalo si sahih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…