Davidson david
JF-Expert Member
- Jul 26, 2023
- 1,029
- 1,051
Ngumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You will be fine... you will be fine.Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
Hili Jambo Mjomba alinisisitiza mara nyingi sana.
Katika Jambo ambalo mama yangu alinisisitiza sana ni katika swala la utunzaji wa Fedha, Mama yangu alinikataza sana nisiwe Mwepesi wa kutoa Fedha kwa mwanamke.
Mama yangu aliniambia "Mwanamke Hana Upendo na mwanaume ila anaupendo na Vitu unavyompa na pesa yako, kama hauna kitu mwanamke hatokua karibu na wewe, sasa Ili uishi kwa Raha hakikisha pesa na Mali zako azipotei kwa sababu ya mwanamke au mapenzi"
Na siku nyingine mama yangu aliniambia mwanangu" Usimuamini mwanamke ulienae katika mapenzi, na usimpende sana mwanamke, siku akijua kua unampenda ndo mwanzo wa kuaribu Maisha yako"
Pia siku nyingine mama yangu aliniambia USIWEKEZE kwa Mwanamke, alirudia Tena USIWEKEZE kwa Mwanamke Mwanamke Hana kumbukumbu ya mema unayomtendea ila ana kumbukumbu mbaya utakayo mtendea, USIWEKEZE kwa Mwanamke.
"Katika Maisha hautakiwi kumuamini mwanamke, hata iweje Usimuamini, mwanamke ni Nyoka,
Nyoka Paswi kuaminiwa.
Jomba wewe mzima kweli? Mbona kila kitu mama mama?Mama alishawai kuniambia kua mwanamke ndani yake Kuna ushetani,ukitaka Kuamini mwanamke anaushetani ndani yake, kati ya Wanaume na wanawake, wanawake wanaongoza kwa kua na mashetani Duniani kote. Au kupandisha mashetani.
Tafuta hela weweMama yako alimaliza Kila kitu.
Katika vitu huwa namjaribu mwanamke niliye na malengo naye ni kumnyima pesa nione kama Bado atakuwa tayari kuwa nami
K wewe una pesa Gani sasa?Tafuta hela wewe
Hii tabia yenu ya kimasikini ndio mnaipeleka mpaka kwa watoto wenu kwa kuwanyima hata nauli halafu tunakutana nao stendi wanatuomba nauli ya daladala kurudi nyumabni au kwenda shule....
Sisomeshi kayumba ewe phallaTafuta hela wewe
Hii tabia yenu ya kimasikini ndio mnaipeleka mpaka kwa watoto wenu kwa kuwanyima hata nauli halafu tunakutana nao stendi wanatuomba nauli ya daladala kurudi nyumabni au kwenda shule....
Dah umemsingizia sana bi mkubwaMi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
Hili Jambo Mjomba alinisisitiza mara nyingi sana.
Katika Jambo ambalo mama yangu alinisisitiza sana ni katika swala la utunzaji wa Fedha, Mama yangu alinikataza sana nisiwe Mwepesi wa kutoa Fedha kwa mwanamke.
Mama yangu aliniambia "Mwanamke Hana Upendo na mwanaume ila anaupendo na Vitu unavyompa na pesa yako, kama hauna kitu mwanamke hatokua karibu na wewe, sasa Ili uishi kwa Raha hakikisha pesa na Mali zako azipotei kwa sababu ya mwanamke au mapenzi"
Na siku nyingine mama yangu aliniambia mwanangu" Usimuamini mwanamke ulienae katika mapenzi, na usimpende sana mwanamke, siku akijua kua unampenda ndo mwanzo wa kuaribu Maisha yako"
Pia siku nyingine mama yangu aliniambia USIWEKEZE kwa Mwanamke, alirudia Tena USIWEKEZE kwa Mwanamke Mwanamke Hana kumbukumbu ya mema unayomtendea ila ana kumbukumbu mbaya utakayo mtendea, USIWEKEZE kwa Mwanamke.
"Katika Maisha hautakiwi kumuamini mwanamke, hata iweje Usimuamini, mwanamke ni Nyoka,
Nyoka Paswi kuaminiwa.
Haaaa, ndugu Ninavyoilinda pesa, kwa akili yangu Yote, na niko makini na Pesa yangu, Wewe cheza na vingine sio pesa maana mm sio muajiriwa kua mwisho wa mwezi napewa mzigo wa pesa, ni mwendo wa kukipambania pesa iingie ndugu yangu.You will be fine... you will be fine.
Sasa huyo mjomba wako alitaka uishi kwa huzuni maisha yako yote kwa kuoa mtu usiyempenda? Halafu mama yako alimpendea baba yako pochi? Yeye pia ni nyoka kwa baba yako?
Inaonekana umeandika ukiwa na maumivu makali moyoni huku umefulia. Wanawake tuishi nao kwa akili vinginevyo jiunge CHAPUTA.
Akili zao ni upuuzi tu.Mama yako yupo sawa maana anazungumza na kitu anachokijua maana naye pia ni mwanamke kwaiyo anajijua alivyo na alivyokuwa na baba yako kwaiyo hataki mwanae apite huko ndo maana mwanamke anapenda mwanaume anayeonga ila hapendi mwanae wakiume awe anaonga hela
Tukupe mda, mpaka mda huu ndoa ya baba na mama yangu inashikiliwa na sisi watoto na bila hivyo ingekua mpaka mda huu ni chali na hapa chanzo ya yote ni mama coz baba alipata ulemavu wa macho.Mimi nina mke niliyempenda sana since back then hapa tuna 21yrs katika ndoa, thanks to her kwani amenivumilia mengi.
Vp wanaume hatuna shetani? Tunanini sisi? Au cc ndio shetani wenyewe?Mama alishawai kuniambia kua mwanamke ndani yake Kuna ushetani,ukitaka Kuamini mwanamke anaushetani ndani yake, kati ya Wanaume na wanawake, wanawake wanaongoza kwa kua na mashetani Duniani kote. Au kupandisha mashetani.
Kwa hiyo wewe umetafuta hela za kupandia Daladala?Tafuta hela wewe
Hii tabia yenu ya kimasikini ndio mnaipeleka mpaka kwa watoto wenu kwa kuwanyima hata nauli halafu tunakutana nao stendi wanatuomba nauli ya daladala kurudi nyumabni au kwenda shule....
We ulipigwa tukio sio Bure😂Sicheki na Wanawake Wanawake ni nyoka mwenye vichwa 7 kila kichwa ni Medusa
"Mpwa wangu katika maisha yako usioe mke unaempenda".Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
Acha kuishi na wasiwasi katika mambo yaliyo nje ya uwezo wako, mimi nikionyeshwa upendo na mimi naonyesha upendo, upendo ukiwa haupo na mimi kwangu unaisha, kwahiyo sitoi 100% kwenye 10% lakini pia siwezi kuacha kumpenda anaenipenda sasa hivi kwa kuhofia atabadilika badaeMkuu usimpe mwanamke moyo wako wote, wanabadilika muda wowote
Upo sahih mkuu, Pia watu hawafanani, wengi hua tunafanya hitimisho la jumla kwa makosa ya wachache jambo ambalo si sahihAcha kuishi na wasiwasi katika mambo yaliyo nje ya uwezo wako, mimi nikionyeshwa upendo na mimi naonyesha upendo, upendo ukiwa haupo na mimi kwangu unaisha, kwahiyo sitoi 100% kwenye 10% lakini pia siwezi kuacha kumpenda anaenipenda sasa hivi kwa kuhofia atabadilika badae