Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mibuyu yenyewe imejiotea baada ya watumwa kutema mbegu zake enzi za utumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu ukiwekea imani ya uchawi hapo unaupata kweli ila ukitoa hela vijan wa kazi wanachimba hadi mizizi yote na hakuna kizuizi chochote cha kichawi
Tiririka mkuu...... GilyKifupi ni hivi, ukinunua kiwanja chenye mti mikubwa hakikisha anayekuuzia anakata hu mti mwenyewe. Mie nilinunua chenye mchongoma mmoja mkubwa aisee kuukata ule mti ulikuwa mtihani mkubwa sana. .
Nilinunua nyumba manzese na nyumba ilikuwa na mchongoma mkubwa tu. Hii nyumba nilivyunza yote nikataka kujenga upya. Nikamlipa kijana wa kwanza aende kuukata mti aliponifata jioni mkono umevimba kashindwa kuukaa nikamuona huyu muhuni atakuwa kaenda kuzurura hakufanya kazi alilalamika mkono unamuuma sana.Tiririka mkuu...... Gily
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo sio mbuyu ni ghorofa hilo watu wanaishi hapo halafu wewee unataka ubomoe nyumba ya mtu kisa bara bara..
Acha utani wee mtu.Hamna kitu ukiwekea imani ya uchawi hapo unaupata kweli ila ukitoa hela vijan wa kazi wanachimba hadi mizizi yote na hakuna kizuizi chochote cha kichawi
Huwa ni kisanga siyo mchezoNilinunua nyumba manzese na nyumba ilikuwa na mchongoma mkubwa tu. Hii nyumba nilivyunza yote nikataka kujenga upya. Nikamlipa kijana wa kwanza aende kuukata mti aliponifata jioni mkono umevimba kashindwa kuukaa nikamuona huyu muhuni atakuwa kaenda kuzurura hakufanya kazi alilalamika mkono unamuuma sana.
Nikamwambia mwingine mtu mzima akate ule mti kwa malipo. Yule mzee nae alihangaika siku mzima kila akikata michongoma inamuumiza alikuja mkono umevimba pia matawi aliweza kukata ila ndo kakwaruzika mwili mzima. Usiku wake aliumwa sana mkono huyu mzee. Ila alisugua mkono na majani gani sijui ukakaa sawa ndo alikuja kunipa mrejesho
Nikaja nikampa kaz Tino kaangaika nao inabidi amwambie babu yake mganga akampa dawa na ndo akafanikiwa kuukata. Nakumbuka nilimpa elfu 20 kuukata ule mti, kwa madai yake aliweka dawa kwanza ndo maana alifanikiwa kuukata. Kwa maelekezo yake ule mti ulikuw unatumika na wachawi na walikuwa wamehifadhi vitu vyao hapo ili wavitumie wakienda kupaa usiku. .
Unaujua mbuyu wewe? Au unaota? Nusu dumu la petrol kwenye mbuyu ni ushubwadaNimeutia petrol nusu dumu unateketea tu sahv
Wengine wanakufa kwa pressure kutokana na simulizi mbalimbali za kichawi na tayari kichwani anakuwa amekaribisha hofu...ni sawa na mtu anaeamini bundi akilia juu ya paa au mti ni uchuro hivyo kama ana magonjwa haya ya pressure anajikuta usiku ule na asubuhi yake anashinda na mawazo kutwa nzima na akikutana na wananzengo wenzake wana hofu pia kutokana na tukio la usiku anajikuta afya inadhohofika mara kisukari mara pressure imepanda, mara paap amedondokaKuna mzee mmoja tulimwambia huko kigamboni kwamba asikate kienyeje!
Siku ya kwanza shoka ikavunjika mpini wala haukukatika, akaona aite chain saw!
Akaiwasha ikaunguruma na kusambaratika vipande!
Lakini hakutosheka akachukua nyingine!
Awamu hiyo akafanikiwa kuukata wote lakini ukabaki unaelea hewani!
Asubuhi yake mbuyu ulivyodondoka na yule mzee akafa! Siku ile ile!
Ni kweli lakini hiyo miti mikubwa hususani mibuyu na miembe mikubwa siyo ya kuchukulia poa!Wengine wanakufa kwa pressure kutokana na simulizi mbalimbali za kichawi na tayari kichwani anakuwa amekaribisha hofu...ni sawa na mtu anaeamini bundi akilia juu ya paa au mti ni uchuro hivyo kama ana magonjwa haya ya pressure anajikuta usiku ule na asubuhi yake anashinda na mawazo kutwa nzima na akikutana na wananzengo wenzake wana hofu pia kutokana na tukio la usiku anajikuta afya inadhohofika mara kisukari mara pressure imepanda, mara paap amedondoka
Tueleze changamoto tukuelewe vizuri bossKifupi ni hivi, ukinunua kiwanja chenye mti mikubwa hakikisha anayekuuzia anakata hu mti mwenyewe. Mie nilinunua chenye mchongoma mmoja mkubwa aisee kuukata ule mti ulikuwa mtihani mkubwa sana. .
Naona umechomeka kichwa kwenye mchanga huku matako yote yako nje.Hamna uchawi...ukikaa na hii dhana hautadhurika abadani