Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Sayansi na teknolojia ndio kichaka chenu cha kujifichia?Nafuatilia aisee......kwa comment humu bado hatujafika ulimwengu wa sayansi na teknolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sayansi na teknolojia ndio kichaka chenu cha kujifichia?Nafuatilia aisee......kwa comment humu bado hatujafika ulimwengu wa sayansi na teknolojia
Kuna mahala hata sayansi inacolapse!Nafuatilia aisee......kwa comment humu bado hatujafika ulimwengu wa sayansi na teknolojia
Kwa Kiyeyeu ile ni story tu mkuu, waligoma kupokea fidia wakafanya divertionKuna mahala hata sayansi inacolapse!
Jiulize kwanini umeme uligoma kuwaka walipopitisha juu ya kaburi la chifu wa kihehe kule iringa?
Mafundi tulioko site tunajua changamoto Kuna sehemu hata sururu haipondi, greda inabust mataili yote kwa mpigo, kijiko kinavunjika hata kama ni kipya!
Kuna site moja tulikwenda mafundi tulipofika pale ukatokea ugomvi tukaanza kuchapana ngumi wenyewe bila sababu hadi shughuli ikashindikana! Tulipasua kweli kweli had I Leo hakuna anaejua sababu ili tulichapana mikwaju wenyewe kwa wenyewe hadi tukatawanyika.
Yapo matukio mengi sana jaman ya kusimulia! Ndiyo maana nasema nikisanga! Anaetaka ushuhuda anitafte tuko Instagram @samico_tanzania
Sio kichaka cha kujifichia, shida katika maisha yetu halisi huwa kuna kaunafiki flani watu wanavyoishi utasema elimu ya jadi haipo vichwani mwao, na ndio maana nikasema kwa comment hizi bado hatupo kwenye ulimwengu wa sayansi ya teknolojia wala sijakupinga na imani yakoSayansi na teknolojia ndio kichaka chenu cha kujifichia?
Huwa haitok, inabakiza kuwa jina la kituoVipi wanaopitosha barabara. Unawambiaje
Sasa hapo kwenye kuchanganya na maji na kupika kunywa kama chai🤔 unataka watu wapagawe si ndioHamna kitu kama uchawi we vuta yale majani kama vipi jifukize au changanya na maji pika kunywa kama chai
Hahaaaaaa, nimecheka sana mkuu. Chanzo cha kupigana ni nini? Ilikuwa wapi hii?Kuna mahala hata sayansi inacolapse!
Jiulize kwanini umeme uligoma kuwaka walipopitisha juu ya kaburi la chifu wa kihehe kule iringa?
Mafundi tulioko site tunajua changamoto Kuna sehemu hata sururu haipondi, greda inabust mataili yote kwa mpigo, kijiko kinavunjika hata kama ni kipya!
Kuna site moja tulikwenda mafundi tulipofika pale ukatokea ugomvi tukaanza kuchapana ngumi wenyewe bila sababu hadi shughuli ikashindikana! Tulipasua kweli kweli had I Leo hakuna anaejua sababu ili tulichapana mikwaju wenyewe kwa wenyewe hadi tukatawanyika.
Yapo matukio mengi sana jaman ya kusimulia! Ndiyo maana nasema nikisanga! Anaetaka ushuhuda anitafte tuko Instagram @samico_tanzania
1hahaaaa, bro umewaza nini na comment yako?Naona umechomeka kichwa kwenye mchanga huku matako yote yako nje.
Usimwache mwanamke mchawi kuishi...
Wachawi na washirikina mibuyu ndio makutano yao...
Umefika Mngeta wewe? Unapajua Itonya? Ilunde ipo mkoa gani? Ilutila nayo Ipo sehemu gani hapa Tanzania ndio nitakua kweli umetembea nchi nzima.Hakuna sehemu nisiyofika Tanzania hii bro
Unavyojidanganya hivyo na hii karne haimaanishi kwamba ushirikina haupo. Uchawi upo, tumeshuhudia kwa macho yetu ya nyama.Unasapoti mauaji ya watu wanaohisiwa kuwa ni washirikina?
Kuamini ushirikina Karne hii ni uzwazwa.
Unavyojidanganya hivyo na hii karne haimaanishi kwamba ushirikina haupo. Uchawi upo, tumeshuhudia kwa macho yetu ya nyama.
Kuna mahala hata sayansi inacolapse!
Jiulize kwanini umeme uligoma kuwaka walipopitisha juu ya kaburi la chifu wa kihehe kule iringa?
Mafundi tulioko site tunajua changamoto Kuna sehemu hata sururu haipondi, greda inabust mataili yote kwa mpigo, kijiko kinavunjika hata kama ni kipya!
Kuna site moja tulikwenda mafundi tulipofika pale ukatokea ugomvi tukaanza kuchapana ngumi wenyewe bila sababu hadi shughuli ikashindikana! Tulipasua kweli kweli had I Leo hakuna anaejua sababu ili tulichapana mikwaju wenyewe kwa wenyewe hadi tukatawanyika.
Yapo matukio mengi sana jaman ya kusimulia! Ndiyo maana nasema nikisanga! Anaetaka ushuhuda anitafte tuko Instagram @samico_tanzania
Kuna mti Mimi nimezaliwa nimekuta Hadi Leo Nina miaka mingi,watoto,lakini huo mti Kijiji kizima hakuna wa kuukata,
Kuna mwaka walijaribu kuukata ukaanza kuvuja damu
Hamna uchawi...ukikaa na hii dhana hautadhurika abadani
Wewe bado mtoto mdogo sana tulia ukikua utaachaHamna uchawi...ukikaa na hii dhana hautadhurika abadani
Basi hujaijuwa dunia bado, hujatembea duniani.Hakuna sehemu nisiyofika Tanzania hii bro
Siyo mtoto mdogo huyo, hao ndio watu wazito, kwa kawaida washirikina wote ni wapingaji wakubwa wa uwepo wa ushirikina, hawapendi jamii ifumbuliwe macho, huo ndio ukweli.Wewe bado mtoto mdogo sana tulia ukikua utaacha