Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Lisemwalo lipo...Umejuaje, au nawe ni mmoja wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisemwalo lipo...Umejuaje, au nawe ni mmoja wao?
Kwangu nimeuchimba hadi mizizi lile shimo nikaendeleza hapo choo kabisa tena la 17ft lilipitiliza urefu na upana wa 25ft na wachimbaji walikula laki 450,000 tuu
hapa nilipo umefika?Hakuna sehemu nisiyofika Tanzania hii bro
Kwahiyo akili ni kuamini meli inaelea halafu kupiga kama watu hupaa na ungo?
Usichokijua usiamini hakipo ni suala la muda tu! Endelea kukua!
Unauchimba mbuyu wenyewe au chin kwenye miziziUlipata shida sana, nunua chumvi kilo kadhaa kutegemea na ukubwa wa mbuyu, uchimbe, weka changanya na oil chafu, njoo wiki tatu utakuta mbuyu umekufa umeoza.. kazi kwisha... nilitumia roughly 120,000/= tu.
Pengine hilo lenyewe ndilo lishirikina likuu la vilinge vya hiyo mibuyu, so linajitutumua hapa kupumbaza Watu hapa JF [emoji23]
Jamani muelewe hata hapa JF pia tunachati na mawakala wa shetani (mizimu, mapepo, majini, wanga/wachawi/washirikina na waganga wa kienyeji) maana shetani ni roho mchafu awezaye kuingia popote pale pasipo na uwepo wa Mcha Mungu haswaa [emoji16]
Huo mbuyu kadri utakavyokuwa unanyauka na kuoza na wewe unaoza na kukonda taratibu!Ulipata shida sana, nunua chumvi kilo kadhaa kutegemea na ukubwa wa mbuyu, uchimbe, weka changanya na oil chafu, njoo wiki tatu utakuta mbuyu umekufa umeoza.. kazi kwisha... nilitumia roughly 120,000/= tu.
Unataka nipate kisukari mkuuPancho umetisha kunywa Mirinda Big naja kulipa
Hujaambiwa uache, Uzi umesema wazi endapo huna uwezo kushindana acha!Watu tunakata iwe mibuyu au miembe na hakuna shida.
Yaani niache kununua shamba/kiwanja kisa imani za kingese za uchawi?
Mm najua namna ya kuwashikisha kaa la moto.
Sawa mkuu.Hujaambiwa uache, Uzi umesema wazi endapo huna uwezo kushindana acha!
Wewe una imani habaHabari wadau
Ukataji wa mibuyu au miti mikubwa umekuwa ikiambatana na changamoto nyingi sana kwa wamiliki na hata kwetu mafundi!
Ushauri huu tunautoa kwenu tukitambulika kama (SAMICO) ambao ni jopo la mafundi wazoefu katika sekita ya ujenzi, Umeme na gesi asilia! Unaweza kutufuatilia katika kurasa zetu Instagram kwa jina la @samico_tanzania
Kutokana na uzoefu katika fani hii ya ufundi, tunashauri kama mtu huna uwezo mkubwa wa kiuchumi au kiimani!
Usinunue kiwanja au shamba ambalo lina Mbuyu mkubwa au miti mikubwa ya kihistoria ili kuepusha migongano ya kimaslahi inayoweza kujitokeza wakati wa ukataji miti hiyo kwa ajili ujenzi!
Miti hii kwa sehemu kubwa huwa ni (viwanja, bar au kumbi za washirikina) Tulioko site muda mrefu tunajua changamoto zake! Ni kisanga sana ingawa tiba yake tunayo!
View attachment 2286292
Duh wanaume wanatalii mnyonge Yuko anawalinda waenjoy.Ndio mgawanyo wa kazi huo.Ruaha National Park.
Usikojoe hovyo kwene hii miti nyeti yako inaweza kupotea ghaflaView attachment 2286780
Ni kweli ila ina matumizi ya ziada (ki-asili) kuliko miti mingi.Mkuu Mibuyu ni kama miti mingine tuu usiogope 😁
Mh wakati nipo mdogo shule tukifagia tulikuwa tunakuta mibuyu imeota asa mm nilikuwa naing'oa nikaambiwa ukifanya ivyo hutopata mtot up now no child I don't know that it's true or notHamna kitu ukiwekea imani ya uchawi hapo unaupata kweli ila ukitoa hela vijan wa kazi wanachimba hadi mizizi yote na hakuna kizuizi chochote cha kichawi
Lete namba mkuu ...ukakate mbuyu mmoja sehemu upo! Tusiandikie mate na wino upo! Nauli na kila kitu bosi atalipa! Yeye anataka mbuyu utoke!Wewe una imani haba
Mbuyu ni mti kam mti mwingine.
Mimi nina mibuyu miwili katika plot yangu kubwa, alikuja jamaa tapeli . ati mganga aka weka vitambaa vyekundu!
Nikavichomoa na kuvipiga kiberiti.
Nikamwita huyo jamaa , na nikammwambia aache chokochoko, akapotelea mbali huku kiugua akifikiri mie nina "fundi" kali.
Nikawaambia tu majirani, imani yangu iko vizuri, siamini mambo yasiyo na tija.
Nasubiri akujibu mkuu 😄😄Lete namba mkuu ...ukakate mbuyu mmoja sehemu upo! Tusiandikie mate na wino upo! Nauli na kila kitu bosi atalipa! Yeye anataka mbuyu utoke!
Lete namba nikupe hilo dili ni hapo pwani wala siyo mbali! Posho utapewa
Niliyo kuambia ni ploti yangu mwenyewe, tena iko Pwani.Lete namba mkuu ...ukakate mbuyu mmoja sehemu upo! Tusiandikie mate na wino upo! Nauli na kila kitu bosi atalipa! Yeye anataka mbuyu utoke!
Lete namba nikupe hilo dili ni hapo pwani wala siyo mbali! Posho utapewa