Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Lina ukweli ndani yake. ZingatiaJiwe
Hakika maneno ya wazee si ya kupuuzaNimepita kwenye hiki kijiwe nongwa leo kuna mzee anatema nyongo kali sana kwa sisi ambao HATUJAOA.
1. Kasema tusioe wala kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila wao bado wanaishi, kwamba kuna uwezekano mkubwa wewe kutokuwa pamoja naye kihisia anaweza ona huna mchango wowote kwake na anaweza kuishi bila wewe
2. Kashauri tuwe na wanawake ambao bado wanaishi kwao yaani yupo chini ya wazazi wake sio mwanamke anayeishi GHETTO
3. MWANAMKE awe anamheshimu baba yake, hii itakuwa rahisi wewe kuheshimika.
4. UWE UMEMZIDI KIUCHUMI, KIAKILI,KIUMRI NA UNAMAWAZO POSITIVE.
Huyu mzee kamaliza kwa kusema "NI MZOEFU WA MAISHA NA UMRI na ANAELEWA NINI ANAZUNGUMZA KWA SISI VIJANA WADOGO NA WENYE KUJITAFUTA.
NAOMBA KUWASILISHA
Kma ulikua hujui basi umechelewa kujua ila hongeraNimepita kwenye hiki kijiwe nongwa leo kuna mzee anatema nyongo kali sana kwa sisi ambao HATUJAOA.
1. Kasema tusioe wala kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila wao bado wanaishi, kwamba kuna uwezekano mkubwa wewe kutokuwa pamoja naye kihisia anaweza ona huna mchango wowote kwake na anaweza kuishi bila wewe
2. Kashauri tuwe na wanawake ambao bado wanaishi kwao yaani yupo chini ya wazazi wake sio mwanamke anayeishi GHETTO
3. MWANAMKE awe anamheshimu baba yake, hii itakuwa rahisi wewe kuheshimika.
4. UWE UMEMZIDI KIUCHUMI, KIAKILI,KIUMRI NA UNAMAWAZO POSITIVE.
Huyu mzee kamaliza kwa kusema "Ni mzoefu wa maisha na umri na anaelewa nini anazungumza kwa sisi vijana wadogo na wenye kujitafuta.
NAOMBA KUWASILISHA
Hatari sana!Kutana na mwanamke ambaye Kila siku anamtaja "mamangu" na hajawahi kumtaja baba yake hata siku Moja. Nenda kwao ukute mama yake alishashindikana na anakukaribisha kwa bashasha na mapochopocho " karibu mwanangu" halafu unakuta Binti lake zuri kweli kweli la sura. Beba Sasa useme umeoa hakuna rangi ambayo hautaiona ,Kila siku linakuja na syllabus mpya ya kukuthibiti na kukunyanyasa Kila idara, kulitema huwezi na hata akili ya kulitema ilishaisha. Ndugu wote walishatimuliwa hawakanyagi kwako umebaki mwenyewe. Stress ++ ulikuwa bonge la mjanja unaanza kuwa fala hadi kazi i
Yeah maana ata wazee wajinga wanazeeka.Hakika maneno ya wazee si ya kupuuza
Ila zingatia si kila mzee ana busara
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Kuna madini toka kwa huyo broNimepita kwenye hiki kijiwe nongwa leo kuna mzee anatema nyongo kali sana kwa sisi ambao HATUJAOA.
1. Kasema tusioe wala kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila wao bado wanaishi, kwamba kuna uwezekano mkubwa wewe kutokuwa pamoja naye kihisia anaweza ona huna mchango wowote kwake na anaweza kuishi bila wewe
2. Kashauri tuwe na wanawake ambao bado wanaishi kwao yaani yupo chini ya wazazi wake sio mwanamke anayeishi GHETTO
3. MWANAMKE awe anamheshimu baba yake, hii itakuwa rahisi wewe kuheshimika.
4. UWE UMEMZIDI KIUCHUMI, KIAKILI,KIUMRI NA UNAMAWAZO POSITIVE.
Huyu mzee kamaliza kwa kusema "Ni mzoefu wa maisha na umri na anaelewa nini anazungumza kwa sisi vijana wadogo na wenye kujitafuta.
NAOMBA KUWASILISHA
Mzee kamwaga moto sana leo aloooohKma ulikua hujui basi umechelewa kujua ila hongera
Balaa tumeshangaa tu hapaKuna madini toka kwa huyo bro
Hawa wazee wanaotaka watu waishi kwenye principles zao za miaka ya nyuma wakati ulimwengu Kila siku unabadilika, Watakuambia make akae ndani tu asifanye chochote kile zaidi ya kulea watotoYani mwanamke kaajiriwa mkoani, tumekutana huko ila nisimuoe kisa ameanza maisha anaishi getto. Kwahiyo unataka kila siku atoke songea (kwao) aende iringa (kazini) na kurudi ili tusimuone anaishi getto?
Hahahha hili kuna sehemu limekugusa mkuu 🤣Yeah maana ata wazee wajinga wanazeeka.
Huko alielezea kwa dunia ya sasa ni sahihi mwanamke kufanya kqzi yaan wote tufanye kazi, waliuliza swali hilo piaHawa wazee wanaotaka watu waishi kwenye principles zao za miaka ya nyuma wakati ulimwengu Kila siku unabadilika, Watakuambia make akae ndani tu asifanye chochote kile zaidi ya kulea watoto