Usioe mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila bado wanaishi

Usioe mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila bado wanaishi

Naongezea
1.mwanamke ambaye kwao mama ndio tegemezi na muamuzi wa mwisho, baba hasemi chochote.

2.Mwanamke ambaye familia yake wao kwa wao hawana maelewano.

3.mwanamke ambaye kwao wanamigogoro ya kifamilia lakini wameshindwa kuitatua.
 
Mimi nataka nikatafute mke kule Mirembe manake akileta ungese nampa dozi yake awe kama zezeta tu🤣
 
Kuna wale kwa kisumuma wanaitwa: Mupaka bhona yang'wa toma.. hawa kipimo cha mke ni Matako makubwa.
Baada ya 5 months tu yanaanza toa milio.
 
Yani mwanamke kaajiriwa mkoani, tumekutana huko ila nisimuoe kisa ameanza maisha anaishi getto. Kwahiyo unataka kila siku atoke songea (kwao) aende iringa (kazini) na kurudi ili tusimuone anaishi getto?
Sema Kuna vitu sio wakuwasikiliza Hawa,yaani Demu akae home tu asubirie kuolewa awe mama wa nyumbani hii ni zana potofu wazee nongwa hawa
 
Back
Top Bottom