Usioe mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila bado wanaishi

Mhh sawa ila mimi nataka kuoa mwanamke ambaye ana kitu cha kufanya ila sio mama wa nyumbani awe ametoka kwao akili itakuwa imepanuka
Lakini sio wote wako tayari pesa yao iguswe. Ukizungumzia pesa yake tu ndoa inaanza kuwaka moto
 
Yeap, Sioi beki 3 jinga lisilotaka kufanya kazi, mke wangu ni lazima afanye kazi
Wapo ambao wanatamani bora wangeoa beki 3. Ukimpata anayefanya kazi make sure unapesa kumzidi. Vinginevyo subiri kuwa vidume viwili.

Kumpata mfanya kazi haotoi uhakika wa kushare cost za familia. Ukimpata wa hivyo mmshukuru Mungu. Jifunze kwenye zawadi zao ndio utajua wanataka majukumu yawe kwa nani. Anakuletea boxa tatu katika 200K uliyompa.
 
A
Naongezea
1.mwanamke ambaye kwao mama ndio tegemezi na muamuzi wa mwisho, baba hasemi chochote.

2.Mwanamke ambaye familia yake wao kwa wao hawana maelewano.

3.mwanamke ambaye kwao wanamigogoro ya kifamilia lakini wameshindwa kuitatua.
Aloooh hapo ukiona jiandane kuwa na migogoro kwenye familia yako kama Iran na israel
 
Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao

Haya ndiyo aliyoyasema:

  1. Epuka kuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana lakini bado wanaishi – anadai mwanamke wa aina hii mara nyingi huwa hana muunganiko wa kihisia na mwanaume, anaweza kuona huna thamani kwake na akaweza kuishi bila wewe
  2. Chagua mwanamke ambaye bado anaishi kwao – yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi wake, si yule anayeishi mwenyewe "ghetto". Anaamini hii husaidia kujua tabia zake za msingi kabla hajaanza maisha ya kujitegemea
  3. Mwanamke anayemheshimu baba yake – mzee huyu alisema, ukiona mwanamke anamthamini na kumheshimu baba yake, ni rahisi sana na wewe kupata heshima kutoka kwake.
  4. Hakikisha unamzidi mambo manne muhimu: kiuchumi, kiakili, kiumri na kimtazamo (uwe na mawazo chanya). Alisema hii itakusaidia kuwa na nafasi ya uongozi wa mahusiano yenye afya na heshima

Huyu mzee kamaliza kwa kusema "Ni mzoefu wa maisha na umri na anaelewa nini anazungumza kwa sisi vijana wadogo na wenye kujitafuta.

NAOMBA KUWASILISHA
NI SAHIHI KABISA
 
Hilo zee ni takataka!

Mwanamke akuzidi chochote ila sio akili na mali.....umekwisha 😁
Na wewe tena umekuwa kachochezi? Jamani eeeeh! Kikubwa kumheshimu na ujue tu namna ya kumfikisha Mawenzi ni cha awali Kibo kilele cha pili!
 
Back
Top Bottom