Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Mhh sawa ila mimi nataka kuoa mwanamke ambaye ana kitu cha kufanya ila sio mama wa nyumbani awe ametoka kwao akili itakuwa imepanuka
Unaweza pita ukatupatia ABCD vijana pia nyie ndio wa kutusimamiaMimi nilishapita huku kwa sasa nalipa ada za shule🤣
Sio uongo hao wakukaa nyumbani wana kuwa mzigo sana yaani hakuna kitu ana weza fanya ata maamuzi tu ya papo kwa papo mpa useme wewSema Kuna vitu sio wakuwasikiliza Hawa,yaani Demu akae home tu asubirie kuolewa awe mama wa nyumbani hii ni zana potofu wazee nongwa hawa
Sawa mkuu ni wewe tu kujimalizaMhh sawa ila mimi nataka kuoa mwanamke ambaye ana kitu cha kufanya ila sio mama wa nyumbani awe ametoka kwao akili itakuwa imepanuka
Tunataka madiniKazi kwenu vijana
Hajasema awe beki 3Sema Kuna vitu sio wakuwasikiliza Hawa,yaani Demu akae home tu asubirie kuolewa awe mama wa nyumbani hii ni zana potofu wazee nongwa hawa
Wina comment ila huyo mzee amenikosoa mimi kwa 96% and he is right.Tunataka madini
Sawa tu ila ndio kijiweni wamenena haya sio lazima kuyachukua unaweza achana nayo na kuyapuuza yoooote hapo ni uelewa wako tu na kuchambua.Haya maneno ni yako wala siyo ya Mzee.
Apo hamna la maana uliloongea kwakuwa ndoa ni unaishi na mtu na kama unavojua kila mtu na utashi wake.
Mf. Binti kamaliza Uni kapata ajira kwaiyo akitoka kwao kisa ajira huyo kashakuwa hafai kuwa Mke.
Yani wew na huyo Mzee ni Mabogus ya mwisho
😀 kuna wengine wana akili huwa wanaigiza kama hawana akili.. kuna hatari kuwatafsiri kuwa hawana akili🤠Mtu mwenye akili ana akili tu na unamjua huyu ana akili, na bwege ni bwege tu na unamuona kabisa huyu bwege 😁
Tuambie hapo JE YUPO SAHIHI vijana tumfuate au tupuuzie???Wina comment ila huyo mzee amenikosoa mimi kwa 96% and he is right.
Aloooh😀 kuna wengine wana akili huwa wanaigiza kama hawana akili.. kuna hatari kuwatafsiri kuwa hawana akili🤠
Huu ukweli halisi haha mafuta hayawezi kujificha kwenye maji...NEVERMtu mwenye akili ana akili tu na unamjua huyu ana akili, na bwege ni bwege tu na unamuona kabisa huyu bwege 😁
UKisoma vizuri utaona nimesema niniTuambie hapo JE YUPO SAHIHI vijana tumfuate au tupuuzie???
Za kuambiwa changanya na zako , Bora kuoa demu mlemavu anaefanya kazi kuliko kuoa Roboti linalokula hela Tu.Sio uongo hao wakukaa nyumbani wana kuwa mzigo sana yaani hakuna kitu ana weza fanya ata maamuzi tu ya papo kwa papo mpa useme wew
Yeap, Sioi beki 3 jinga lisilotaka kufanya kazi, mke wangu ni lazima afanye kaziZa kuambiwa changanya na zako , Bora kuoa demu mlemavu anaefanya kazi kuliko kuoa Roboti linalokula hela Tu.
😂😂😂 et robotZa kuambiwa changanya na zako , Bora kuoa demu mlemavu anaefanya kazi kuliko kuoa Roboti linalokula hela Tu.
Ndio maana nikasema hilo andiko lina madini ni kuchambua yanayokufaaKwa Maana hiyo Mkuu , una madini yanayohitajika hapa🤔