Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Jul 15, 2025 #101 Fanton Mahal said: Nawahurumia vijana wangu Click to expand... Mungu nifundishe kunyamaza
Mickbrown JF-Expert Member Joined Sep 13, 2022 Posts 428 Reaction score 513 Jul 15, 2025 #102 Kwenye ndoa yangu mwaka wa 5 sasa lakin kusema ukweli siraha yangu nikumtegemea Mungu bassiiiii
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,966 Reaction score 47,296 Jul 15, 2025 #103 Evelyn Salt said: Watu sahivi vichwa vina mambo mengi hamna mtu anafika kileleni, za ndani kabisa hapa kwetu mwanamke wa mwisho kufika kileleni ilikua june 2021. binti kiziwi hili si unalijua?? Click to expand... Akiona uongo aseme tumpe ushahidi yakinifu 🤣
Evelyn Salt said: Watu sahivi vichwa vina mambo mengi hamna mtu anafika kileleni, za ndani kabisa hapa kwetu mwanamke wa mwisho kufika kileleni ilikua june 2021. binti kiziwi hili si unalijua?? Click to expand... Akiona uongo aseme tumpe ushahidi yakinifu 🤣