Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

Nani alikudanganya?🤔
yaani muongo na mzushi mwanzo mwisho.

Tuko wengi tumelelewa na single parents kwa shida sana na tunawashukuru sana sana kwa bidii na jitihada zao.

Aidha wako wengi wamelelewa na wazazi wote wawili na hawana mpango wala heshima yo yote.

La muhimu ni kuwa mzazi aweze kumuongoza mtoto kiipasavyo.

Hicho kiingereza chako cha kujidai dai umeokota wapi?
 

Emotional damage 101, work on the weakness not rejections
 
Nani alikudanganya?[emoji848]
Mwache ajichanganye arudi kuomba ushairi hap

Sina research ila ninawaona mtahani hapa watu wamelelewa na wazazi wawili ila ndo videgejon na chura maarifu na wengine ndio wanajiita ma MP katika makundi yao ya wavuta bangi

Huku walio lelewa hasa na mama peke yake ndo wamekuwa watu wenyeuchungu wakutotaka KUONA mtoto akizaliwa Kisha kukuso malezi ya pande mbili tena hapa mtahani wadada wenye wazazi wawili ndo wanawatoto WA sio na baba

Naliambiwa hayana kannuni ila unaweza kujaribu kuutafuta aliye sahii ila usiweke asilimia mia maana utapopata asiye sahii uone ni kawaida Kisha ugange yajao
MWENYEZI MUNGU ATUSAIDIE
 
Sina Hakika ila nakupinga nasema HAPANA kama kunamtu anaroho hiyo ya kutaka kumuona mwanaye anateseka kama yeye alivyo teseka Kwa kulelewa na mzazi mmoja basi huyo anaroho mbaya tu ambayo anaweza kua nayo yoyote yule

Nimesoma na mtu ambaye anawazazi wote wawili lakini anataka mtoto wake aje asome shule kama tulivyo soma sisi ambayo ugali ni kama mbichi,maharage hayatii hamasa ya kula kisa anadahi kuwa mwanaye ataona uchungu WA kusoma mawazo ambayo ni tofauti kabisa na mimi ninaye waza kama nikiwa na mtoto nitafute pesa Ili nimuhudumie tene nimpe Mali inayoonekena ya kuanzia maisha sio elimu tu kama wasemavyo. Maana ninaijua dhiki anayopitia mama na mtoto PASIPO baba tena kama mama hayupo vizuri kiuchumi

Sasa mtu kama Mimi ninaijua kabisa dhiki ya kulelewa na mama peke,na kosa kitu Fulani sababu mama ameshindwa kunitimizia na muda mwingine na fikiria kwani kati ya Mimi na wao nani alimtaka mwenzie alafu nije ni ruhusu mtoto alelewe na mzazi mmoja tena mama HAPANA labda nitasemwa Kwa kutojua kuishi kikamilifu kama baba Kwa kuwa sijawahi kumuona baba yangu kabisa akinilee Kwa namna Fulani ambyo ndio mtindo sahii Kwa baba kuishi na mwanae

Unajua Huwa wanafikiria Nini tena akijua umemkimbia Kwasababu ya huoga wako tu mwenyewe na ulimtaka mwenyewe

HAPANA Mimi siwezi Kuna mda unahitaji tu ushairi kutoka Kwa baba au mama atakama Hana ele lakini unakosa huo ushairi,unakosa ada unawaza labda angekuwa baba au mama wangesaidiana ningepata ada lakini wapi mmoja hayupo

Sasa mtu unaijua hiyo DHIKI alafu unataka kufanya Kwa makusudi Kwa mtoto ambaye unamtaka wewe mwenyewe na Wala siyo yeye aliye kutaka HIYO NI ROHO MBAYA TU AMBAYO YEYOTE ANAWEZA KUWA NAYO

Maana wapo waliolelewa na mzazi mmoja hawana roho hiyo na wapo walio lelewa na wazazi wote wapo na roho hiyo
 
Mkuu ulichoongea kina ukweli kiasi Fulani,na wapo kweli watu wwliolelewa na mzazi mmoja na wapo kwenye ndoa zao ila ni wachache.

Tafsiri yangu hapa Nini Nini,Huwa tukiwa watoto tunajifunzia kupitia kwa wazazi wetu,tukiona wanapendana ndicho tunachojifunza hicho,lkn let say mfano mwanaume aliyelelewa na mama pekee,hawezi kuona thamani ya mke kwa sababu hakumuona baba akiwa na mama yake wanafurahi,hivyo yy ni rahisi sana kumtelekeza mke hata akiwa na watoto na kujisemea kuwa mbona hata mimi nilikuwa na mama tu na nimekuwa.

Dhana hii humjengea kutomthamini mwanamke kwa sababu naye hakuona mama akiishi na baba hivyo hata yy haoni umuhimu wa kuishi na mke wake na watoto,atakachofanya tena kwa kujiskia ni kuwatunza tu ili wasimsahau.
 
Yah! Kwa mtazomo huu inawezekana
 
Hii yote ni mashambulizi kwa single mothers tu..tuwapumzishe hata kidogo jamani!
 
Kuna rafiki yangu ameolewa,mumewe amelelewa na mama pekee
Tabia hizi zote ulizoandika yule jamaa anazo especially hiyo ya kwanza
Ndoa ina mwaka tu lakini dada wa watu kachoka kama vile kakaa miaka 40!
Huenda kuna ukweli
Hii itakua pande zote mbili
 
Research inasema other wise. Wenye wame toka kwa familia ya wazazi wote. Wanapigania familia zao sisimame. Hata wakikosea wanaomba msamaha. Single parents wanaendekeza single parenting. Any fight they just give up. Money availability sio malezi bora. Ni wazazi kuwepo na mtoto akiwaitaji. Emotionally, physically and socially.
 
Ingekuwa km madai yako tabu zingezidi tulizonazo,ila ni uoga wako.
 
Do investigations. Hata kwenye ndoa wapi wanaolewa, na kutulia na ndoa zao. Na hata wakidivorce wanajua umuhimu wa ndoa . They will always fight for a better life. Ila wengine wana sema sawa mungu Amepanga its okay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…