Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

We jamaa inaonekana ulivyokua shule, darasani ulikua na kiherehere sana
 

1. In parenting its a both gender job. Sio ya mama wala baba pekee

2. Prince Charles je?! You think atamaliza na meghan. He follows the path of his parents. They all talked about the single parenting trauma. Over and over
 
just saw statistics that 60 % of American blacks are raised by single parents. noma sana
Ndio maana wapo hovyo sana ile jamii ya watu weusi. Afya hovyo, maadili hovyo, tabia hovyo, matukio ya hovyo hovyo na ya laana yote wao wamo.
 
Ndio maana wapo hovyo sana ile jamii ya watu weusi. Afya hovyo, maadili hovyo, tabia hovyo, matukio ya hovyo hovyo na ya laana yote wao wamo.
Mambo haya yanaumiza hisia sana....
Ulimpoteza mzazi ukiwa mdogo, unaamka unakuta jamii forums wanasema single parented children ni wa hovyo...[emoji1]
Hawakuchagua kuwa knye family ya hvyo...

Goodluck to you self proclaimed perfect ones...God knows!
 
We need changes that’s all . Issues single parenting is been made popular turned into a norm
 
Education bro . Most of them are unaware they will create a chain of single parenting generations . And some regrets , some economic and social issues
 
I don't think so!!!!! [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
 
kwamba waliolelewa na single parent hawafai hii si kweli mbona kuna wengi tumeshuhudia vyote ulivyooresha hapo wakitenda na bado ni watoto wa maaskofu na wamelelewa na wazazi wote.
 
kwamba waliolelewa na single parent hawafai hii si kweli mbona kuna wengi tumeshuhudia vyote ulivyooresha hapo wakitenda na bado ni watoto wa maaskofu na wamelelewa na wazazi wote.
Ni kweli mkuuu unachokisema
 
Reactions: Sax
Kwahicho kingereza kibovu na umelelewa na wazazi wawili
 
Ni hatari Na population inaongezeka
Inasikitisha kaka, tunaishi nao lkn ni majanga!
Kwa macho ya nyama ukiwaona ni wakamilifu na wenye upeo kiaina.
Kwa macho ya rohoni wana gap kubwa sana ambalo limejaa kila aina ya takataka na mitazamo hasi(trauma, toxic, narcisim and manipulation.) Ndiyo mambo yaliyoshiba rohoni mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…