Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilimwambia itoe hiyo kwanza tuile hiyo ingine ata ikifa itajijua huko
Samahani naomba tubadilishane contact pm please. I can see you're having a lot of funny. Then we can talk about trading please hakuna mitongazano.
Semaa inaonekana unapenda mno kuiwahi hela yako unaila kabla haijaliwa na wengine
 
Kuna watu inawaendesha maisha yao.
Kuna watu wamekuwa mabilionea na mamilionea kupitia forex trading, wakina Paul Tudor Jones, George Soros, Kathy Lien, Jesse Livermore (R.I.P) na Dr. David Paul(R.I.P)
Huyu David paul PhD amefariki mwaka huu. kuna concepts zake ninazo nazitumia vitani. Jamaa Yuko sincerely and transparency
 
Baba kuvamia game hiyo. Baada ya kuliwa akili ikarudi.
Ile haipaswi kuvamia, inapaswa uifanyie tafiti. Trendline haimove soko, Wala support and resistance. Kinachomove soko ni world events na economic data. Ni mwendo wa panic, fear and greed.
Wanachofanya big players huwa wanajua data, so huwa wanamake false moves kufanya promotions, promotions hizi hufanywa na mabrokers kuwaita traders wainvest wapate pesa za chapchap, wakati si kweli .

Pesa inapatikana kwa jasho.
 
Asante sana.
Kama unalink au maelezo au namna ya kupata brockers au source yoyote ya hapo newyork stock exchange unaweza kuniinbox nifanye study kidogo. UTT nipo pia japo ndio naanza mdogomdogo
 
Huyu David paul PhD amefariki mwaka huu. kuna concepts zake ninazo nazitumia vitani. Jamaa Yuko sincerely and transparency
Yes mkuu amefariki mwaka huu, ana msemo wake mkubwa sana " When the market wants to go up, it must go down first, it must go to the orders, the professionals would rather die than chase the markets".

" The good trade is a hard trade".
"The best trades occur after the masses have been stopped out".

May this great trader rest in peace.
 
Inatosha hata kuiishia hapo mkuu. Yote kuhusu forex inajulikana. Hivyo pambana ndugu
 
Asante sana.
Kama unalink au maelezo au namna ya kupata brockers au source yoyote ya hapo newyork stock exchange unaweza kuniinbox nifanye study kidogo. UTT nipo pia japo ndio naanza mdogomdogo
Sources za brokerage , nenda kwenye website Yao ya Dar Es Salaam stock exchange, utapata infos za kutosha.

Kuhusiana na Newyork stock exchange, unaweza tumia hata forex brokers wanazo stocks, broker mzuri ambaye hatosumbua ni Tickmill.
 
Asante sana.
Kama unalink au maelezo au namna ya kupata brockers au source yoyote ya hapo newyork stock exchange unaweza kuniinbox nifanye study kidogo. UTT nipo pia japo ndio naanza mdogomdogo
Ila mkuu tafuta kwanza elimu hata ya mwaka mmoja, usiingie kichwakichwa.

Kwasasa hali za stocks ni mbaya kwasababu ya interest rates ambazo FED wanaziraise, ila wametoa greenlight kuwa watapunguza riba by 2024.
 
Bora yule anaepata laki 5 anaenda kula Bata na mademu ,kumwagilia moyo weekend. Kuliko kuweka doka 200 forex utegemee itazaa. Yaani kwenye dola 100 kuona negative 90 nikugusa tu lakini kuona profit hata dola 10 ni kivumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…