Usitafute utajiri, utajiri ni matokeo. Tafuta kibali cha Mungu

Si
'MUNGU amemfanya mwadamu mnyoofu lakini wamebuni mavumbuzi mengi'

Unafanya jitihadi za kuutunza lakini huna mamlaka ya kujiwekea ama kuuondoa uhai.. kabla sijaendlea ningependa kujua Kama unaamini MUNGU yupo au la?
Je, ninaweza kutenganisha kichwa cha mbuzi na mwili wake(kumchinja) na bado akaendelea kuwa hai kwa kuwa mwenye mamlaka unayemdai hajaamua mbuzi afe?

Hoja ya mwenye mamlaka kuamua ni batili, na HAYUPO. Hesabu zako kulinganisha na unavyohusiana na unaohusiana nao au navyo, ndio Kiamuacho nini Kitokee na Nini Kisitokee.
 
Yeah Kuna scenario zipo anatoa yeye kwa makusudi yake kwako either akukomboe mwishoni , Ila mengi ya hayo hutoka kwa kwa yule 'MWOVU'
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na huyo MWOVU?

Alishindwaje kumdhibiti huyo MWOVU?
 
Basi huyu Mungu ana upendeleo saaana haiwezekani kuna watu wanazaliwa mpaka wanakufa hawajawahi kuwa furaha kwenye maisha ya
Furaha ni matokeo ya tafsiri uletwa na hali ya mtu kuyatawala mazingira yake na Sio mazingira
 
'MUNGU amemfanya mwadamu mnyoofu lakini wamebuni mavumbuzi mengi'

Unafanya jitihadi za kuutunza lakini huna mamlaka ya kujiwekea ama kuuondoa uhai.. kabla sijaendlea ningependa kujua Kama unaamini MUNGU yupo au la?
Mungu angekuwa amemfanya mwanadamu mnyoofu, Binadamu wangekuwa na uwezo wa kufanya dhambi na uovu?

Huo unyoofu uko wapi?
 
Umasikini unakaa kichwan na Sio kwenye mazingira kama hii Sio laana ni Nini
Hakuna kitu kama laana.

Habari za laana ni imani potofu.

Umaskini unakaa kichwani na sio kwenye mazingira how yani.
Sijakuelewa unachokilenga.
 
Thibitisha uwepo wa bahati physically and its visibility.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kabla ya yote,

Bahati ni muingiliano wa matukio mawili au zaidi ambapo tukio moja linageuka kuwa faida kwenye tukio jingine.

Na bahati ni tafsiri ya mlengwa aliye katika moja ya matukio hayo.

Kwa tafsir hiyo ya bahati how utake yeye akuthibitishie bahati physical?
 
Hii ina maana gan mkuu?
Utajiri una gharama zake wengi wao hawana furaha na utajiri wao.
Kutafuta kuishi means uwezo na uwezo wa kujitosheleza kwa kupata Kila ukitakacho
 
Bado hujathibitisha uwepo wa bahati physically and its visibility ilihali unakataa ukweli juu ya uwepo wa Mungu.

Akili zako zina ukomo kuelewa kuhusu imani na uwepo wa Mungu by empirical evidence kama ujiitavyo Mwanasayansi ambaye huambatani kabisa na metaphysics evidence philosophies.

Thibitisha bahati si imani na ikiwa umefeli kuthibituisha mwonekano wake na umbo lake.

Mbali na hapo utakuwa umeamua kukaza fuvu lako tu kuwa hakuna Mungu ilihali kuna vitu vingi tu visivyo na physicality na visibility unakubali na kuamini uwepo wake kama bahati, akili, hewa.....

Ukiomba unasema Mungu nipe kibali Cha Nini!
Kibali cha unachokitaka.
Yakobo majirani wote walikusudia kumuua na familia yake. Akaingia mlimani kuomba. Mungu akampa utisho. Msafara wa familia yake na mali yake ukqpita katikati ya maadui na hakuna aliyemfanya chochote.

Mungu huwapa watoto wake matakwa yake. Kumbuka sio kila mtu ni mtoto wa Mungu. Lakini watu wote ni viumbe wa Mungu.
 
We uko timamu kweli?

Unaweza kuthibitisha uwepo wa vitu kama hofu, wasiwasi, hasira, tamaa, chuki, furaha, Akili, n.k

Hivi vitu vyote havipo katika uhalisia ila vipo kwa kufikirika kuonesha hali fulani za kibinadamu.

Bahati si kitu cha kuonekana Physically na kushikika, "Bahati" ni neno linalo onyesha jambo ambalo hutokea pasipo matarajio ya mhusika.

Ulijifunza aina za Nomino katika lugha ya kiswahili kweli?

Kama hukujifunza nenda kasome
"Nomino dhahania" maana yake ni nini.

Sasa na wewe Thibitisha uwepo wa Mungu huyo Physically and his visibility.
 
Mimi nakwambia hivi "Bahati" ni neno ambalo halipo katika uhalisia,

Haliwezi kushikika, ila ni neno linalotumika kuonesha jambo fulani linalo tokea pasipo matarajio ya mhusika.

Thibitisha uwepo wa Mungu Physically and his visibility.

Otherwise, Mungu huyo Hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika imaginations just an illusion.
 
Logical non sequitur

Kwamba kwasababu biashara yako inaenda vizuri ndiyo inadhihirisha kibali kutoka kwa Mungu!?

Haufikirii kama ni usimamizi wako mzuri tu katika kuendesha biashara and nothing else!?
 
Mungu angekuwa amemfanya mwanadamu mnyoofu, Binadamu wangekuwa na uwezo wa kufanya dhambi na uovu?

Huo unyoofu uko wapi?
Alimfanya Adam mnyoofu akajitaftia matatizo mwenyewe. ''MUNGU ANAKUPENDA'
 
Ila MUNGU anakupenda.
 
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na huyo MWOVU?

Alishindwaje kumdhibiti huyo MWOVU?
Halazimishi ufanye kitu flani, ndiomana kakupa utashi uchague wewe mema au mabaya.
 
Mungu ni mkiritimba,

Yeye kajilimbikizia dhahabu huko halafu huku kaumba ulimwengu ambao hakuwa na nia viumbe wake waishi kwa furaha.

Yani ukiplay hata bongo fleva tu unayoipenda.
Lengo lako ni kutafuta hiyo furaha lakini kumbe Mungu hataki mziki kama huo.

Creation is just a theory.

Hivyo namimi nmekuja kujazia jazia kwenye hiyo nadharia.

Mungu Inaweza kuwa Kamtapeli Shetani hisa zake kwenye project ya uumbaji waliyoifanya wote.

Shetani anapambana kupata haki yake, na ndiyo maana anapambana kufundisha watu wajitambue na waone Mungu huyo asivyo wa haki kwa matendo yake.

Chenye nguvu kubwa hakijaribiwi.

Kama Mungu angeumba vyote hivi then mjinga mmoja ajaribu kuharibu objectives zote za uumbaji, bhasi Mungu mwenye nguvu zote angekuwa keshamuua huyo mjinga (Shetani)

Inawezekana shetani ana nguvu kubwa kumzidi hata huyo Mungu.
Hiyo ni sababu shetani hawezi kuuawa.

Finally i believe Satan atashinda tu, wenye kuziona dalili ni wenye akili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…