[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zama zimebadilika.zamani mwanaume alikuwa akiwa na mchepuko ule mchepuko ulikuwa tulizo la moyo hasa, ila siku hizi mambo yamebadilika
mchepuko imekuwa kaa la moto,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka yaan.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mizinga inaumiza
na ole wenu siku wakiamua kuzibua vinu vya nukiliaMizinga inaumiza
dah hiyo ni sawa na m-ukraine kufia vitani akipigania nchi yake, me siweziKama ungekaa na huyu chuma ulete mwezi mzima, basi ungekuwa umetumia Mil 1,120000......, Smartphone laki 300000, matumizi yake na mtoto ni laki 300000, elfu 80000 ya nywele, hela ya kukombololea kabati Finca ni laki 200000, vocha tukadirie 60000, luku elfu 30000, mtoto anaumwa laki150000.…... Mkuu kimbiaaaa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huyo hajielewi ni zile type za buguruni + mwananyamala , kwanza unawezaje kuwa na mwanamke type hiyo !?Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...
Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]
Woyoooooooooo [emoji16][emoji119]Kaa karibu na soap/lotion au hata oil halafu futa namba zoote za madem
[emoji16][emoji16][emoji16]Ndiyo maana tukisha mzalisha mwanamke kama huyu lazima tumtelekezee yeye na mtoto ili aisome namba
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] oyaaaaa[emoji119]Dah!,
Mimi nilipata mfanyakazi ila kwa vizinga yaani unaweza sema hana kazi lol,
Eti ndani ya mwezi mmoja mwanamke anataka macho 3
Nikamwambia nimeghairi mahusiano na wewe,na sina sababu kwanini nimeghairi...
Acha uoga umekimbia bahati🤪Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...
Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]
Kwa sababu njaa bado inamtesa , now ana wish apate hata kile kidogo ulichokuwa unampa [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee baba sijataka hata kujiuliza mara mbili ni ndukiiiii... Cha kushangaza hachoki kunitafuta mda wote anapiga tu simu sipokei na text sijibu... Imeisha hiyooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sentence ya mwisho nimecheka Sana [emoji16][emoji16][emoji16]Poleni sana...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana, endeleeni ku hudumia Ili mpewe sifa za kijinga...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ila jf [emoji119]A wise man once said
"Avoid broke women at any cost".
Hapa alimaanisha broke women upande wa mtazamo, mindset na sio broke upande wa kifedha
Ukiona una date na mwanamke ana mtazamo negative, hajali kuhusu future, hakupi mawazo ya kimaendeleo wala haongelei chochote kuhusu business au investment anachotaka yeye ni attention tu hapo mwanaume kimbia mbio ndefu kuliko hata Hussein Bolt.
Haijalishi huyo mwanamke ni mchepuko au mchumba, kama ni mke mvumilie kwa sababu ulimuoa kwa ujinga wako mwenyewe [emoji41]
Mwanamke kua mchepuko hai guarantee awe na akili za kitoto au kipumbavu pumbavu.
Sasa kama wote wana hisia mbona mwisho wa siku wanawake ndiyo hutukanwa na kudhalilishwa kuwa wao ni malaya huku wanaume wakisifiwa? Mtu ambaye mwisho wa siku anajua atakuja kunyooshewa vidole na kuitwa malaya unategemea ajicommit?Tatizo wote wana hisia
Mkuu wala siyo kwamba wanawake wana akili za kipumbavu au utoto bali wanafanya hivyo makusudi kabisa! Wewe unadate na mwanamke huna malengo naye huna mpango wa kumuoa unategemea ajicommit kwako wakati mwisho wa siku utamuacha na mkiachana jamii itamtukana yeye kuwa ni malaya huku wewe ukisifiwa kuwa ni kidume kwa kutembea na wanawake wengi!A wise man once said
"Avoid broke women at any cost".
Hapa alimaanisha broke women upande wa mtazamo, mindset na sio broke upande wa kifedha
Ukiona una date na mwanamke ana mtazamo negative, hajali kuhusu future, hakupi mawazo ya kimaendeleo wala haongelei chochote kuhusu business au investment anachotaka yeye ni attention tu hapo mwanaume kimbia mbio ndefu kuliko hata Hussein Bolt.
Haijalishi huyo mwanamke ni mchepuko au mchumba, kama ni mke mvumilie kwa sababu ulimuoa kwa ujinga wako mwenyewe [emoji41]
Mwanamke kua mchepuko hai guarantee awe na akili za kitoto au kipumbavu pumbavu.
Mkiona michepuko imekuwa shida au gharama si mtulie na wake zenu? Kwani mmelazimishwa kuchepuka mkuu?zamani mwanaume alikuwa akiwa na mchepuko ule mchepuko ulikuwa tulizo la moyo hasa, ila siku hizi mambo yamebadilika
mchepuko imekuwa kaa la moto,
Moyo ukipenda, hayo mengine yanakuwa hayana nafasiSasa kama wote wana hisia mbona mwisho wa siku wanawake ndiyo hutukanwa na kudhalilishwa kuwa wao ni malaya huku wanaume wakisifiwa? Mtu ambaye mwisho wa siku anajua atakuja kunyooshewa vidole na kuitwa malaya unategemea ajicommit?
Hakuna cha moyo kupenda mzee ninyi wanaume ndiyo mmepelekea leo hii wanawake wamekuwa hawana huruma wala mapenzi na ninyi sababu hata ninyi hamna huruma wala mapenzi nao! Ninyi mngekuwa na huo moyo wa kupenda msingekuwa mnatukana wanawake kila kukicha kwamba wao ni malaya kisa tu mmemaliza haja zenu kwao mkawabwaga!Moyo ukipenda, hayo mengine yanakuwa hayana nafasi
HAYA MAMBO KUMBE YANATUKUTA WANAUME WENGI, HALAFU WANAWAKE WANAKUA KAMA WAMEFUNDISHANA.Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...
Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]