Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Oohh sasa kama mnajua sex ni muhimu kwa wanawake kwanini huwa mnawatukana kuwa ni malaya? Kana kwamba ninyi ndiyo mnafaidi na wao wanalazimishwa tu?
Hapa naona umegeuza ..wanaume ndo huwa wanaonekana kufaidi sex ndo maana mwanamke anataka huduma za kiuchumi ili atoe sex. Mwanaume anatakiwa atoe huduma za kiuchumi na sex ila wanawake ni wajanja wamelazimisha sex kuwa hitaji la mwanaume hivyo wamejitoa kujihudumia kiuchumi wanawategemea wanaume
 
Hebu nenda kwa mangi hapo jirani akupe Cinzano Bianco. halafu nitumie bill.

Jumamosi iliyopita nilikuwa na furaha sana, mwisho wa siku nikajikuta nahitaji ku-flash. Nikamchukua binti mmoja pale nilipokuwa, nikamlipia kazini, tukakubaliana kwamba yeye nitampa 30k. kufika eneo la tukio ananiambia kioo cha simu yake kilivunjika huko nyuma,kwa hiyo ananiomba 80k. stimu niliyokuwa nayo ikapotea, nilichofanya nikampa 30k game was called off, nilijiona nilipotea njia.
 
Mnara wako ujengwe posta DSM au 88 DOM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hata ninyi huwa mnawapima wanawake kabla hamjawaoa mkuu? Siyo ninyi mnaotakaga wanawake wakija kwenye mageto yenu wawapikie, wawafulie, wawaoshee vyombo na wawafanyie usafi ili kujua kama wanafaa kuwa wake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mommah unapiga mwingi hadi unamwagika.
 
Kwa kweli ni bora umefanya maamuzi ya maana mapema,Kuna wanawake ukikutana nao utafikiri umekutana na zimwi,Anachowaza ni kupewa pesa tu.
Usiombe kumuoa mwanamke wa aina hii yaani toka asubuhi mpaka jioni ni pesa hii pesa ile mpaka , utazeeka mapema.
 
Pesa matumizi..

Kama hela yako inakuuma sana basi kaa mbali na papuchi...

Tatizo ni pale unapoanza kuleta malengo malengo... Watu hawana malengo.. Wanajua unachotaka toka saa unawatongoza,, na kidume pia unatakiwa kujua cha kuwapa hata kabla hujaanza kuomba ucchi...

Mtazamo tu..
Ila hata ukipata asiyeomba hela nashauri USIOE
 
Tatizao wanawake siku hizi hawajui mahitaji yao ya msingi,kwake simu iPhone, brand anazozikubali Gucci, LV ,outing sehemu kubwa kubwa, hapo ukija uswazi huku vikoba vitatu, michezo saba vyote vina hitaji hela na kazi hawana mwisho wa siku wanajikuta wanauza ngono kwenye mahusiano yao,anawanaume kama saba kila mmoja anapewa majukumu yake.
 
Kabisaaa kila mtu anabaki na miliki yake.
 
Kwani mwanaume anapokua na mchepuko yule mchepuko si anakua anajua kua jamaa ameoa ana mke na familia yake?

Na kama anakua anajua halafu akakubali kua mchepuko si ana maana yupo tayari kuvumilia au ku face kila challenge itakayojitokeza ikiwemo hiyo ya kutoolewa na mhusika?

Sasa hayo makusudi yanatoka wapi?

Hata tukija kwenye mahusiano ya kawaida tofauti na mambo ya michepuko kama mwanamke anaona mwanaume wake hana dalili za kumuoa hivi karibuni au mbeleni si ajiongeze aachane nae, sasa hayo makusudi ya kazi gani?

Mwanaume na mwanamke hawawezi kua sawa hata siku moja, nature tu inampa mwanaume advantage kuliko mwanamke.
Namaanisha:
Kufanya makusudi sio kumkomoa mwanaume ni kujipotezea muda, ila kufanya maamuzi sahihi japo napo sio kumkomoa mwanaume ni kujiokolea muda na future pia.

Wanaume tuna financial factor wakati wanawake wana biological factor, utawafanyia makusudi wanaume wangapi, wakati umri unaenda na umri unavyokua mkubwa kwa mtoto wa kike na thamani yake inazidi kupungua.
 
Hata ninyi mnapokuwa na michepuko si mnakuwa mnajua kuwa hamtaioa? Sasa kwanini msikubali tu kwamba hayo mahusiano lazima yawe win win situation?

Kumbuka mnaolalamika ni ninyi kwamba wanawake wanawapotezea pesa zenu! Ndiyo maana tunasema kama mnaona michepuko ni gharama tulieni na wake zenu!

Wakilalamika wanawake napo tutawaambia kama wanaona hawawezi basi waachane na waume za watu! Watulie maana hawajalazimishwa kutembea nao na kuwa michepuko!

Na kiukweli siku hizi niseme wanawake wengi wamepunguza kama siyo kuacha kabisa kulalamika kuhusiana na hayo masuala! Sababu wengi wameshaget over the reality!

Siku hizi wanaume ndiyo mnaongoza kwa kulalamika kwahiyo it's up to you walalamikaji kuchukua hatua women care less these days! Either unahudumia mchepuko au baki na mkeo!

Hayo mambo ya kusema eti mwanaume hana hasara mwisho wa siku atakayeumia ni mwanamke ilikuwa zamani! Mlipozoea kuwadanganya bibi zetu sababu hawakuwa na elimu!

Siku hizi hakuna mapenzi! Wanawake hata wakijicommit kwenu bila kuomba pesa hakuna faida watakayopata ukweli utabaki pale pale kuwa hamtawaoa na mwisho mtawaacha tu!
 
sanaa zimekuwa nyingi skuhz...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…