Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

Usitongoze mwanamke, fanya hivi utakuja kunishukuru

Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card.

Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11.

Mkono mtupu Haulambwi.
Sasa wewe unanunuwa mbunye halafu unakuja kujisifu huku?

Wewe unanunuwa kwa 50k wakati wenzako wananunuwa kwa 20k sasa hapo nani wa kufundishwa maujanja?

Labda nikufundishe tu wakati tupo kwenye foolish age kama yako ukimeet na mtoto mkari unatowa dola mia na kumuandikia namba yako ya simu kwenye ile dola mia, halafu ndio unampa unamwambia call me.

Hizo business card nani anataka huo uchafu? Tsh 20,000/= unatengeneza hizo mia moja hata kama huna kazi wala biashara.
 
Sasa wewe unanunuwa mbunye halafu unakuja kujisifu huku?

Wewe unanunuwa kwa 50k wakati wenzako wananunuwa kwa 20k sasa hapo nani wa kufundishwa maujanja?

Labda nikufundishe tu wakati tupo kwenye foolish age kama yako ukimeet na mtoto mkari unatowa dola mia na kumuandikia namba zako za simu kwenye ile dola mia, halafu ndio unamwambia call me.

Hizo business card nanibanataka huo uchafu? Tsh 20,000/= unatengeneza hizo mia moja hata kama huna kazi wala biashara.
Rudi shule ukajifunze vyema lugha kabla ya kutoa maoni.
 
Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni nampa hata elfu 50 na business card.

Kati ya mabinti 13 niliofanya hivi nimetembea na 11.

Mkono mtupu Haulambwi.
Kwani kutongoza ni nn, inawezekana mleta mada hauna uelewa mpana juu ya kutongoza; ninavyojua kutongoza ni ni art ambayo inafanywa kuweka ukaribu kati ya mwanaume na mwanamke and verse versa kwa maana ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi.

Mbinu ambazo mmoja Mwanaume au mwanamke anaweza kutumia kumshawishi mwingine kuwa karibu naye ni zinatofautiana kulingana na vingezo mbalimbali ikiwemo mazingira, mwonekano, haiba ya mtongonzwaji, status yake martial and work, etc....

Mfano sanaa inayotumika kumtongoza PS wa ofc fulani ni tofauti na ile itakayotumika kumweka Karibu MD kutoka pale MUHAS!

Hata hivyo ukweli kwamba kwa ujumla wake wanawake wanafanana na hivyo kuna some criteria zipo kwa ujumla.
Mfano wanawake wote wanataka attention kwamba akikwambia anaumwa kichwa, you take troubles kujua amepata matibabu au kumchukua kumpeleka akapate matibabu ya uongo na kweli, asbh umpigie simu umwamshe, mchana umwambie akale, kwa kifupi wanapenda mtu atakayefanya wadeke!!

So mleta mada pamoja na yote hayo napenda kukuhakikishia kuwa once umeonesha kumsifia na kuonesha interest kwake is also an art of seducing nikiwa na maana kuwa kutongiza haina maana umwambie Mm nimekuzimia, nakuota, nakutaka na wakati mwingine ndo maana kuna hatua tunakula tunda kimasihara kwa sababu sanaa ni flexible inabadilika kulingana na mazingira etc.... and thing changing with time!!
 
Back
Top Bottom