NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Wasalaam,
Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future.
Kama ni mwanamke anayekusuuza roho ukimuona na wewe ukatumia nguvu kula 'msambwanda' uridhishe nafsi sawa. Ila sio kama una malengo ya kuwa kwenye uhusiano wa kudumu Kuoana ama kama Boyfriend and Girlfriend itakugharimu sana.
Kuna mdau humu aliwahi kuandika kuomba ushauri akiwa na majonzi akiwa haamini jinsi alivyoachwa na mwanamke aliyempa vingi sana na hadi kumtafutia kazi, Kuna mahali aliandika "Nilimfanya anipende asione wengine " Hili ndilo lilikuwa kosa lake kubwa sana. Yeye aliamini zile zawadi na vitu ndiyo ilikuwa ulimbo wa mapenzi kwa yule mwanamke.
Mwanamke anayekupenda atakupenda hata kama unatembea kwa mguu , huna kazi na unaishi ghetto la Elfu 15 kule Keko Magurumbasi. Ila huwezi kumfanya mwanamke akupende kisa umeenda bank kumchukulia mkopo na yeye aendeshe IST ! Fanya hivyo kwa mke wako. Jamii haitashangaa wala hutaonekana kituko kwa mashoga zake.
Wanaume wapeni wapenzi wenu zawadi zisizozidi utu wako, ili usije kuumia sana pale unapokuja kumegewa na kuachwa.
Thanks me later!