Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

Ukute sasa na unaemganda walau kakuelewa japo kwa mbaaaliii ukimganda basi nae vi-feelings vitajengeka.

Ukute hajakuelewa, haukamshtua, huna maajabu kwake kifupi unakua kero....labda hapo uwe na option ya uchawi 😁 (pesa)
Mapenzi ya kuvuta kwa kutumia pesa sio mapenzi mkuu. Pendaneni kwakua mnapendana
 
Kuna manzi kanikubali hivi na umaskini wangu. Nilisoma nae shule moja nikamtangulia, sikuwahi kuongea nae bali rafiki yake. Yeye alikuwa ananikwepa nikajua hapendi kuniona ila miaka miwili after ndio akanitafuta dm akanitajia jina nikamkubuka, akaomba namba. Mpaka sasa mwaka unaisha ndio mwanamke ananipenda kuliko yeyote na hatukutongozana

Kuna huyu mwingine nilimpenda mimi akanizungusha wee mpaka nikampumzika kwanza. Juzi kati hapa nikarudi kwake kumtongoza akanipa muda afikirie. Kesho yake akaniomba hela nikamwambia nasubiri kesho nipate, kesho ikafika akaomba hela nikamute kwanza. Nikamuuliza housemate mtoto mzuri wa mjini hii scenario imekaaje akacomfirm sipendwi. Nikagoma kutoa hela bora kila mtu ale alikopeleka mboga
 
Hiyo kuomba hela ni trick ya kukufukuza. Wanatumia sana wadada wa sikuizi.
Japo si wote.

Mostly ukiona uko na mtu anaomba hela ya chips, sijui nguo za ndani, hajasuka, sijuia ana party.. all ndani ya wiki moja mliofahamiana. Sukuma mbali
 
Kuna manzi kanikubali hivi na umaskini wangu. Nilisoma nae shule moja nikamtangulia, sikuwahi kuongea nae bali rafiki yake. Yeye alikuwa ananikwepa nikajua hapendi kuniona ila miaka miwili after ndio akanitafuta dm akanitajia jina nikamkubuka, akaomba namba. Mpaka sasa mwaka unaisha ndio mwanamke ananipenda kuliko yeyote na hatukutongozana

Kuna huyu mwingine nilimpenda mimi akanizungusha wee mpaka nikampumzika kwanza. Juzi kati hapa nikarudi kwake kumtongoza akanipa muda afikirie. Kesho yake akaniomba hela nikamwambia nasubiri kesho nipate, kesho ikafika akaomba hela nikamute kwanza. Nikamuuliza housemate mtoto mzuri wa mjini hii scenario imekaaje akacomfirm sipendwi. Nikagoma kutoa hela bora kila mtu ale alikopeleka mboga
Ulifanya jambo la busara sana
 
Back
Top Bottom