Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Tatizo mna hang nao tu wanawake bila kuwapa challenge kama mnapendwa
Kama zipi mfano?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mna hang nao tu wanawake bila kuwapa challenge kama mnapendwa
Tunapaswa kujifunza kuwajua wanaotupenda, sio kufanya watupende ingali hawatupendi
Mkuu maswal yako nimeyakubali [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kumbe havinaga kanuni ya kufanana!
Sasa umejuaje huwa huyo mwanamke ndiye anakupenda kwa that ya moyo kuliko wengine ambao uliwahi kuwa nao kwa mahusiano labda? Nataka kujifunza kitu fulani hapo!
Mkuu toa ufafanuzi zaidi watu wajifunzeTatizo mna hang nao tu wanawake bila kuwapa challenge kama mnapendwa
Mkuu ilikua sio akili yako pekee kuna nguvu kubwa inashare wawili ambao wameshawahi kufanya mapenzi zinaingiliana.Nina uzoefu na hilo, nimewahi kupenda mtu mpaka unahisi nimerogwa, mtu mpaka anapata mimba huko nje ila mm najikuta namhurumia. Ni kumbukumbu mbaya kwangu. Nawapenda wanawake lkn siwaonei huruma sasa hivi.
Mkuu toa ufafanuzi zaidi watu wajifunze
Kama zipi mfano
Mkuu toa ufafanuzi zaidi watu wajifunze
Mtaji wa Kwanza kwa mwanaume ni kujiamini tuMkuu toa ufafanuzi zaidi watu wajifunze
Mkuu toa ufafanuzi zaidi watu wajifunze
Challenges kama zipi kwa mfano @ Mlapapa
Challenges ni nyingi tu, hawa watu kwa kifupi uwa hawapend furaha ya kudumu, ukiweza ku control hisia ZAKO tu kwisha habar yake,ishi nae siku uwe kama simba Leo kifaru kesho kondoo kesho kutwa mamba, swala au nyegele usimshobokee wala nini, akivumilia hapo ushamu win huyo.Kama zipi mfano?!
Kama zipi mfano?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda Kama hujakutana na mdada mwenye uno feni!! Wapo mafundi wewe..!
Hatari sana kiongozi umenichekeshaNina uzoefu na hilo, nimewahi kupenda mtu mpaka unahisi nimerogwa, mtu mpaka anapata mimba huko nje ila mm najikuta namhurumia. Ni kumbukumbu mbaya kwangu. Nawapenda wanawake lkn siwaonei huruma sasa hivi.
Acha uongo!! mwanaume anahonga kulingana na Upako wa mke!!....kuna wanawake km wachawi vile yaani akiingia kwako ni mifweza tu kwa kwenda mbele~ sasa km amekuambukiza upako wa midolali nika jenga mghorofa wa kupangisha kwa nini niumie??Wanaume wapeni wapenzi wenu zawadi zisizozidi utu wako, ili usije kuumia sana pale unapokuja kumegewa na kuachwa.
Na ayanaga nini mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana na hayanaga muongozo...
Hayanaga muongozo...Na ayanaga nini mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwaiyo ni kawaida tu kuteswa na mapenziHayanaga muongozo...
Unaachana nayo unafanya mambo mengine...Kwaiyo ni kawaida tu kuteswa na mapenzi
Na kama amekulia pesa zako na tunda amegoma kutoa what next?Unaachana nayo unafanya mambo mengine...
Ukitoa toa bila kukumbuka...Na kama amekulia pesa zako na tunda amegoma kutoa what next?