Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

Hiyo kuomba hela ni trick ya kukufukuza. Wanatumia sana wadada wa sikuizi.
Japo si wote.
Mostly ukiona uko na mtu anaomba hela ya chips, sijui nguo za ndani, hajasuka, sijuia ana party.. all ndani ya wiki moja mliofahamiana. Sukuma mbali
Sasa huyu hata vocha hapati kudadeki zake. Yani watoto wazuri walionizunguka wote nina options kadhaa za kudate nazo yeye ndio aniendeshe. Kwanza mwenyewe mapenzi hayajasimama
 
UKWELI KABISA
 
Ushauri mzuri sio rahisi kuupata,,, hata ukiupata huwa ni vigumu kuufuata..
 
Hivyo viuno hata sungura anavyo! Ogopa kukutana na mwanamke ambaye anasimamisha uume wako, kwa hisia zote, anakufanya uwe mwanaume kwa dakika zote... Achana na hao wezi.

Sio kila mahali uume unasimama sawa.

Omba mungu ukutane na mwenye hisia na wewe.
 
Muombe mungu akupe hitaji LA moyo wako, watendee wema wanawake. Watakaokucheka Leo, miaka 100 baadaye hawatakuwepo na wewe hautakuwepo
 
Muombe mungu akupe hitaji LA moyo wako, watendee wema wanawake. Watakaokucheka Leo, miaka 100 baadaye hawatakuwepo na wewe hautakuwepo


Mwanaume anawezaje kujua mwanamke fulani anampenda kwa that ya moyo?

Kwaajili ya kujifunza tu.
 


Kumbe havinaga kanuni ya kufanana!

Sasa umejuaje huwa huyo mwanamke ndiye anakupenda kwa that ya moyo kuliko wengine ambao uliwahi kuwa nao kwa mahusiano labda? Nataka kujifunza kitu fulani hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…