Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Duh hizo chembechembe za uduanzi, nadhani ana experience fulani ilimuonyesha kuwa we ni mpuuzi. Ana hali mbaya lakini ungempeleka pabaya zaidi.

Ashukuriwe Mungu alikupa somo na yeye akajiokoa.

"A fool and his money are soon parted"
 
Bora wewe umesema,huyu kaleta negative lakini wenye positive ni wengi mno.
 
Wewe ni mjinga kwel kwel,,,, unakutana na singo maza watoto wa3 unamjengea ? Hawa watu hawatakiwi kuonewa huruma, yani mpk azalishwe mara 3 na kuachwa kuna shida mahali, na wewe ukabeba jumla jumla,,,,ama anafinyia kwa ndan ? Utakuwa ulikuja mjini na gari za mwenge
 


Jaribu uonje na sumu alafu utupe feedback, maana ww hata sumu utaonja kwa akili zako hizi.
 
dah! pole man huo ndio utu uzima.
 

Mwanamke, ni Kiumbe Hatari sana, nae alikua anaomba Kodi nikaamua kumjengea Ili kupunguza kuombana Kodi Kila mara, ni kawaza nimpe na msingi aongezee kwenye Harakati zake.
 
Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.

Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
Kilikupata nini sasa mboni hujamaliza unaanza kulia?
 
Mwanamke, ni Kiumbe Hatari sana, nae alikua anaomba Kodi nikaamua kumjengea Ili kupunguza kuombana Kodi Kila mara, ni kawaza nimpe na msingi aongezee kwenye Harakati zake.
Ikawaje sasa malizia story mboni unajilizaliza na story humalizii?
 
Hao viumbe hawanaga shukrani hata kidogo,ukipata nafasi yakumtenda mwanamke mtende kisawasawa hadi atie adabu, sio wakuwaonea huruma hata kidogo!
 
Mwanangu ningepigwa nimekwambia nikufiche nn, Ili ni kwangu ni kama Funzo.
Kununua Kiwanja kujenga, na umeme full, Bado kumkabidhi tu Dem kachomoa Betri,
Kachomoaje hio betri mboni maelezo yako hayatoshi?
 
Wewe unalala na kula kwa shemeji yako.kisha unakuja andika upuuzi eti ukamjengea. Unaota?hujielewi unakuja na pigo za kishamba sana. Nenda kamfulie shemejiyo boxers zake.
 
Umedhihirisha ulivyo kibuyu.Ipo siku watakutawanya nyaa.Endelea kujisifu ujinga.

Mnakufaga vibaya nyie.Endelea na huo utapeli utakutana na mamafia watakuMasogange👋
 
Mwanamke, ni Kiumbe Hatari sana, nae alikua anaomba Kodi nikaamua kumjengea Ili kupunguza kuombana Kodi Kila mara, ni kawaza nimpe na msingi aongezee kwenye Harakati zake.
Wanawake wakuchapa walivyo wengi hivi hao mavimpire mnayatolea wapi???😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…