Usiuze kwanza Subiri Mji Ukue hapo pakishachangamka patakulipa sana

Siku moja utanielewa nilikua namaanisha nini leo malizia bia zako hizo nenda kalale
Unajikuta much know na mshauri butu. Wasingeuza wewe hapo unapokaa pangejengwaje? Haya hela nyingi kwako unayosubjri ni sh.ngp? Hicho kiwanja leo bei yake ni milion 7 ukasubjru ukauza 2040 milion 20 hiyo bei mwaka 2080 inakuwa zaidi ya hapo na mwaka 3000 inakuwa zaidi ya hapo zaidi. Sasa kwa vile hujielewi na bange zako endelea kusuburi milele. Ila maeneo mengi yanayouzwa ndio maendeleo huonekana nyie mnaoshikilia viwanja ndio hushikilia na kusimamisha maendeleo ya eneo husika
 
Atasubiri mpaka lini, ndo pamechangamka mkuu, M800 aloo siziachi .
Na pia mtoa mada aseme kwa hiyo huyo mzee angeuza lini ambapo pangekua pamechangamka na hapawezi kuchangamka zaidi, maana anaweza akahisi pamechangamka akauza then baadae pakachangamka zaidi akajuta kupauza before... je inabidi sehemu ichangamkeje ndo uuze ili usiweze kujutia pakichangamka zaidi?
 
Kwamba wanaishi milele?
Hakuna ambae anaishi milele ila akili za kwamba unakufa leo uuze leo ufuje leo umalize leo ni ufala mwingine tena waa kiwaango kikubwa mno
 
Akikujibu naomba uni tag.
 
Kuna jamaa mtaani kwetu akimaliza kuvuta bage anakushauri hadi ushauri wa usiende uani ukibanwa na haja. Yani anajikuta mshauri sana kumbe madhala ya bangi. Acha bangi
Kwa akili zako za kuvukia barabara huwezi kunielewa nimemaanisha nini, nyinyi ndio wale hamjui hata maana ya round about kwa hio siwezi kukushangaa sana na haupo peke yako mpo wengi mno mmejaa ujinga umeganda kichani
 
Akikujibu naomba uni tag.
Namjibu kwani kuna nini kinachonishinda kumjibu hapo kaauliza kitu simple sana ila kwa akili zako finyu utaona kauliza kitu kikubwa mno
 
Somo ni zuri, japo Me nmeshindwa kumuelewa maana kuchangamka hakuishi Leo.
 
Somo ni zuri, japo Me nmeshindwa kumuelewa maana kuchangamka hakuishi Leo.
Ninachomaanisha hujaelewa nini kuhusu hicho nilichosema? Wewe nionyeshe hapa mkuu sijakuelewa nikueleweshe vizuri
 
Kitu nilichomaanisha ni kuwekeza kwenye hio ardhi, tatizo hamsomi mkaelewa wengi wanakua na ardhi ila hawafanyi uwekezaji wowote ila akichukua mwingine mwenye akili kubwa kukuzidi wewe yeye anafanya uwekezaji utakao mlipa pesa aliyonunulia hilo eneo na faida ya juu kwa miaka mingi zaidi, hicho ndicho nilichokimaanisha hapo tatizo unasoma bila kuelewa
 
Ninachomaanisha hujaelewa nini kuhusu hicho nilichosema? Wewe nionyeshe hapa mkuu sijakuelewa nikueleweshe vizuri
Sijaelewa, wewe ulitaka auze lini kwa criteria zipi. Na kama shida ni kuwekeza Kuna watu Wana asset ila fedha za uwekezaji hawana.
 
Kama huna uwezo wa kuendeleza eneo fulani, wewe uza tu ili ukajenge maisha yako kwingine ukiwa na mtaji.
Imajini una eneo Kariakoo na hauna uwezo wa kujenga ghorofa la biashara halafu unapewa m 800, kwa nini usiuze na kujisogeza kule Gezaulole au Kibaha unapiga mjengo wa maana wa angalau 200m na zilizobaki unaenda kujenga simple apartment maeneo mengine ili kuendeleza mrija wa pesa ikizingatiwa kuwa pesa inategwa na si kutafutwa.
 
Sijaelewa, wewe ulitaka auze lini kwa criteria zipi. Na kama shida ni kuwekeza Kuna watu Wana asset ila fedha za uwekezaji hawana.
Sijasema auze nimesema afanye uwekezaji ushanielewa na point yetu ilikua hio ndio likaja hilo suala, wengi hawawekezi wanakuja kugundua kwamba wangewekeza wameshauza tayari tena kwa bei ya hasara kabisa na ishakua too late
 
Mwambie aniuzie lililobaki
 
Mimi ningekuwa huyo mwenye mill 800 nazitia UTT zote alafu mwisho wa kila mwezi nawekewa million 10 na bado mill 800 zipo pale.

Millioni 10 kila mwezi unafanya nini zaidi ya kula na kusasambua mbususu na bata na vacation za hapa na pale.

Hata huyo aliyeuza eneo kama akipata walau million 150 ukiiwekeza hiyo UTT ndani ya miaka 20 unaacha kabisa kufanya kazi.Unakula mbususu mpaka unafia hukohuko.
 
Sijasema auze nimesema afanye uwekezaji ushanielewa na point yetu ilikua hio ndio likaja hilo suala, wengi hawawekezi wanakuja kugundua kwamba wangewekeza wameshauza tayari tena kwa bei ya hasara kabisa na ishakua too late
Ardhi ni Mali full stop usiuze ardhi Kwa kukurupuka hata zikiwa hatua 5
 
Kabisa pesa inatakiwa ikutumikie sio uitumikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…