nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Utafiti kwa kutumia sampuli moja inaitwa uzushi, tafadhari tafuta watu angalau 50 waliozaa ovyo ovyo, rudi hapa, au ingia google, angalia waliofanya huo utafiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mechi na mama J huachiKila nikifikira kuzaa nje ya ndoa
Na mke Wangu ananipenda sana na Hana tatizo lolote,moyo wangu unakua mzito sana
Hpn si kweliUnadharau Sana genetics....Zina nguvu mzee Wacha kabisa
Rafiki yako ni MALAYA sana aiseeKwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo huyo ati mpaka kufa!!
Na ukioa mwanamke mwenye vimelea vya wizi yaani kwao ni majambazi huwezi kuoa mwanamke mwingine ni huyo huyo! Watoto wote utakaozaa inawezekana wakabeba tabia za mama yao yakawa majambazi yote ! Au mataita, au masela kama Wanavyojiita wenyewe! Ukiona mgomvi na zero brain ,utazaa mitoto zero brain hivyo hivyo! Hata ukilipeleka boarding halielewi kitu ! Yaani anafika darasa la Saba hajui kusoma Wala kuandika : ila hata ukimuangalia usoni unaona hili jamaa nikama jambazi jambazi hivi yaani ana viashiria hivyo !?
Dini inabidi itusamehee rafiki yangu amezaa watoto sita' Mmoja kazaa na mpare ni mrembo hatari sana, wapili kazaa na mnyakyusa, watatu kazaa na Mhaya anapenda kusoma kwa sasa yupo form six' wanne kazaa na mfipa yupo yupo tu ila anapiga kazi sana na anaheshima hachagui kazi, watano kazaa na mkinga ana duka pale Buguruni anauza vifaa vya umeme wawili wa mwisho kazaa na mgogo ni kama siwaelewi elewi wapo wapo tu pale nyumbani kwao muda wote ni kupiga makelele na kulaumu watu !!
Nimejifunza kitu zaa watoto Kwa faida Yako sio Kwa faida ya dini utanishukuru baadae!!
Kila unachosoma ni kweli!!?...genetics mtu anasadifu kutembea,kukohoa,kucheka...we unasema psychology!!!Hpn si kweli
Ktk saikoloji tumesoma haiba ya mtu ama personality ina vitu viwili vinavyoiunda... Cha kwanza
I) temperament hii ni zile sifa za kibailogia mtu unazorithi toka kwa wazazi wako kama urefu, ufupi, ucheshi n.k ambazo ndio genes unazozungumzia
II) character hizi ni zile sifa za kitabia kama wizi, uchoyo, ukarimu, ucha Mungu n.k hizi hutokana na malezi na mazingira uliyokulia. Ambazo ndio kiini cha uzi huu hivyo tabia kama hizi mtoto awezi kuzirithi automatically bila ya nguvu ya malezi na mazingira aliyepo
Naachaje kwa mfano[emoji4]Ila mechi na mama J huachi
Watengeneza radi[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]prejudice
we bwana wafipa wajomba zangu very bright people
Nili nusurika kubambikiwa mimba ehuuuSijawahi kuwaza kupata mtoto nje, naomba isitokee. Kuzaa ovyo na wanawake wengi yaweza kuwa laana.
Kwa wakati mwingine inaonekana Kama hujakomaa na unayoongea unaonyesha una umri gani. Yaani Kuna Mambo fulani Ni suala la umri so uko sawa sikubishii at this time.Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo huyo ati mpaka kufa!!
Na ukioa mwanamke mwenye vimelea vya wizi yaani kwao ni majambazi huwezi kuoa mwanamke mwingine ni huyo huyo! Watoto wote utakaozaa inawezekana wakabeba tabia za mama yao yakawa majambazi yote ! Au mataita, au masela kama Wanavyojiita wenyewe! Ukiona mgomvi na zero brain ,utazaa mitoto zero brain hivyo hivyo! Hata ukilipeleka boarding halielewi kitu ! Yaani anafika darasa la Saba hajui kusoma Wala kuandika : ila hata ukimuangalia usoni unaona hili jamaa nikama jambazi jambazi hivi yaani ana viashiria hivyo !?
Dini inabidi itusamehee rafiki yangu amezaa watoto sita' Mmoja kazaa na mpare ni mrembo hatari sana, wapili kazaa na mnyakyusa, watatu kazaa na Mhaya anapenda kusoma kwa sasa yupo form six' wanne kazaa na mfipa yupo yupo tu ila anapiga kazi sana na anaheshima hachagui kazi, watano kazaa na mkinga ana duka pale Buguruni anauza vifaa vya umeme wawili wa mwisho kazaa na mgogo ni kama siwaelewi elewi wapo wapo tu pale nyumbani kwao muda wote ni kupiga makelele na kulaumu watu !!
Nimejifunza kitu zaa watoto Kwa faida Yako sio Kwa faida ya dini utanishukuru baadae!!
Kwani hivyo ulivyo orodhesha kuna hata kimoja mesema sio biological inheritance???Kila unachosoma ni kweli!!?...genetics mtu anasadifu kutembea,kukohoa,kucheka...we unasema psychology!!!
Utainfluence akiwa mdogo,akipevuka anakua yeye..anafata traits zakeKwani hivyo ulivyo orodhesha kuna hata kimoja mesema sio biological inheritance???
Kiini cha uzi kimeegemea ktk genes trait au characters?? Na ni kwa kiasi gani wazazi tunaweza kuinfluence character ya mtt?
uko sahihiSijawahi kuwaza kupata mtoto nje, naomba isitokee. Kuzaa ovyo na wanawake wengi yaweza kuwa laana.