Kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu, ningelizaliwa mwanamume basi nisingezaa na mwanamke mmoja abadani, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, 2 hata wanne ningezaa nao, mi ni muumini wa mfumo dume
Kuzaa na mwanamke mmoja ni kuweka mayai ndani ya kapu moja, ikitokea mtikisiko yote yanavunjika,
wanawake tuna ka kujiamini ka kipuuzi hasa ambapo hakuna ushindani,
Wanawake ni watu wa kutunza maumivu, kama ulimtendea ndivyo sivyo enzi za ujana, then ukazaa nae peke yake uzeeni ujiandae maana watoto wote watakuwa upande wa mama yao wewe baba utakuwa mpweke kupitiliza yale mamlaka ya kiume yote yatakuwa chini ya mkeo, ukijitutumua kuongea wanakulambisha adhabu na wanae lakini ukiwa umezaa kwingine kutakuwa Kuna ile ushindani, kwasababu mke anajua unao wengine kuna hali fulani atapunguza ngebe, maana anajua akikuvuruga wapo watakaokupa faraja kitu ambacho wanawake wengi hatupendi yani uwape baraka watoto wa nje kuliko wa ndani hivyo atalazimika kusimamia nidhamu ya wanae juu yako baba yao
Kuna story huwa naisoma kuwa mwanaume Ni km bulldozer linatengeneza barabara ila ikikamilika haliruhusiwi kupita,,sasa ukiwa na watoto kwa wamama tofauti kuna unafuu kiaina watakubeba kwwnye semi lakini afadhali kuliko kupaki ukaozeana,,
Wanawake wengi tunathamini mwanaume akiwa na nguvu, akizeeka hana jipya tena, labda awe alijiweka vizuri, Sasa hapo ndo ujikute ulizaa na mke mmoja nae ni bandidu,, lazima ufe chap tu
Mengineyo yamesemwa na mtoa mada,