kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Sijawahi kuwaza kupata mtoto nje, naomba isitokee. Kuzaa ovyo na wanawake wengi yaweza kuwa laana.
Usithubutu aisee inatesa sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuwaza kupata mtoto nje, naomba isitokee. Kuzaa ovyo na wanawake wengi yaweza kuwa laana.
Hqkuna mwanamke asiye na tatizo lolote,tunavumilia tuKila nikifikira kuzaa nje ya ndoa
Na mke Wangu ananipenda sana na Hana tatizo lolote,moyo wangu unakua mzito sana
Vitu gani sasa uviseme, mbona unapapasa tu, ongea A-Z vitu halisi watu waelewe, yaani ni sawa na kusema huu ni mkono na ni mkono kweli, hii ni nyumba na ni nyumba kweli, vitu vinavyo zunguka jamii ktk uhalisia wake... Siyo mambo ya kufikirikaSiri za ulimwengu wa ROHO, Roho ndio utawala maisha ya mwili zikiwemo tabia za watu
Ameshakuroga huyoKila nikifikira kuzaa nje ya ndoa
Na mke Wangu ananipenda sana na Hana tatizo lolote,moyo wangu unakua mzito sana
Hujasema aliyezaa na mnyakyusa anapenda nini?Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo huyo ati mpaka kufa!!
eshima hachagui kazi, watano kazaa na mkinga ana duka pale Buguruni anauza vifaa vya umeme wawili wa mwisho kazaa na mgogo ni kama siwaelewi elewi wapo wapo tu pale nyumbani kwao muda wote ni kupiga makelele na kulaumu watu !!
Nimejifunza kitu zaa watoto Kwa faida Yako sio Kwa faida ya dini utanishukuru baadae!!
😂😂😂Yaani Kwa Ufupi ni Kama Vile Unasema. ' Zaeni Hovyo hovyo' ...!
Kwani umeambiwa hili ni jukwaa la walimu wa miandiko.....?Paragraphing.....nitatizo kubwa