Utabiri: Ipo siku atatokea kiongozi mzalendo hapa nchini atawafunga kamba mafisadi na kuwaminia risasi mchana kweupe

Hatupo kwenye hizi zama. Akitokea raisi muuaji bila kufuata taratibu ataondoka kwa mtindo unaofanana na huo au mtindo huo.

JAMHURI ina sheria na taratibu ilizojiwekea za makosa ya Jinai zinazohusisha mahakama.

Ukianza kuua watu kwa kisingizio cha Ufisadi huku kupuuza hizo taratibu zilizopo za nchi JAMHURI ina namna yake ya kudili na wewe hata ukiwa kiongozi wa juu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…