Utabiri: Ipo siku atatokea kiongozi mzalendo hapa nchini atawafunga kamba mafisadi na kuwaminia risasi mchana kweupe

Utabiri: Ipo siku atatokea kiongozi mzalendo hapa nchini atawafunga kamba mafisadi na kuwaminia risasi mchana kweupe

Weka akilini mwako bila kudai katiba mpya kwa jasho na damu huyo unayemtaka wewe CCM hayupo wote humo wamejaa wezi
 
Mkichukuliana wanawake bar halafu mmoja akatwangwa risasi akasingiziwa ni fisadi sisi wananchi wa kawaida tutaupima vipi ukweli?

We are better than this!
 
Majitu kama haya ndio ya kwanza kupinga Katiba mpya,yanataka tuishi kama manyani.
Acheni kufurahia uvunjaji wa sheria. Yeyote mwenye nia njema na hii nchi anapaswa kujenga taasisi imara na sio siasa uchwara za kujiona mungu mtu.
 
Hakika
Hizo sio sustainable measures. Unahitaji nchi yenye taasisi imara.

Unajua marekani vyombo vya ulinzi vilihamisha vitu vya trump wakati bado anabisha kwamba hajashindwa? Hizo ndio taasisi imara. Na hapo lazima maendeleo yawepo.
 
Ukiwafanyia watu wako hivi...

1650729415675.png

Huu ndio mwisho wako, na ndio walimfanya hivi
1650729554484.png

1650729799535.png
 
Kwani unadhania sheria za sasa sio imara?
Sio Imara kabisa na ndiyo maana watu wataalamu wanaongelea katiba! Tatizo la udikteta wengi ni wabaya kuliko wazuri. Mfano Museveni sio mbaya sana lakini anamwachia nchi mtoto wake! Je tunataka nchi yetu iende huko angalieni North Korea. Demokrasia ndiyo system pekee nzuri lakini katiba na sheria inabidi ziwe imara sana. Negeria walikuwa wanapiga wezi risasi hadharani halafu viongozi ni mabilionea kwa wizi!. Kasome ripoti ya CAG uone rushwa 2019-2020 ilibyokuwa kubwa tena mwaka wa Covid!
 
China pekee ndo wameweza kutekeleza iyo maneno pamoja na zengwe la Amnesty Internationsl
 
China pekee ndo wameweza kutekeleza iyo maneno pamoja na zengwe la Amnesty Internationsl

Lakini jamii ya China hatuwezi kuwaiga. Hawana makabila mengi kama sisi, hawana demokrasia, hawana madhehebu ya dini. Serikali inatoa mpaka mimba kwa lazima 🤔. Je jamii zetu inajua haya. Yaani maisha yao yoye ni watu wachache ndiyo wanaamua
 
Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbet na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.

Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.

Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.

View attachment 2197741
Daaah, inakera sana, watu tumekamuliwa pesa kujenga bwawa, halafu we unakuja kulitelekeza kirahisi tu, dawa yao kumbe ipo
 
Nchi nyingi duniani zimeendelea baada ya viongozi kakisi kukamata madaraka ww angalia china na russia zile nchi zilipata viongozi makauzu leo ndo nchi zina uchumi mkubwa sasa sisi huku afrika viongozi wetu wengi ni wezi na hata hakuna lolote wanafanywa leo.
Kila mara tunaambiwa kuna mabilion yametafunwa lakini hakuna lolote wanafanywa wengine wanabadilishwa sehem za kazi tu ila hakuna lolote wanawajibishwa na chama lao bado ndo liko madarakani unategemea kuna nn hapo .

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Ni kosa mama kudai mafao yake kama wastaafu wengine wanavyodai mafao yao?....hoja yake bila shaka ipo kwenye mafao yake baada ya kuacha ualimu na kumtumikia Rais...ni haki yake ni jasho lake ana haki ya kudai kama kila mtu mwingine anavyodai mafao yake....Mama alipwe stahiki zake na ikiwezekana iwekwe kisheria kwa wake wote wa marais, mawaziri wakuu nk ambao wanaacha kazi zao...

Vinginevyo sheria ianishe kabisa Mme au mke akiwa Rais unapaswa kuendelea na kazi yako na hakuna mafao....
 
Back
Top Bottom