Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Hata yeye naye alikiona Cha moto.alifilibwa na kutahiriwa bila ganzi.tena hadharani kinoma mama.